Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kama ni kweli, nimewahi kusikia Lucky ndiye mhusika wa njama za kumwua Senzo kwa sababu ya mzozo wa kibiashara (ushindani). Na kwamba hata hao waliomwua walikuwa wakilipa kisasi ingawa walijifanya nia yao ni kupora gari.Sijui kama ni kweli, nimewahi
Sijui kama ni kweli, nimewahi kusikia Lucky ndiye mhusika wa njama za kumwua Senzo kwa sababu ya mzozo wa kibiashara (ushindani). Na kwamba hata hao waliomwua walikuwa wakilipa kisasi ingawa walijifanya nia yao ni kupora gari.
Kuna makala moja iko humu JF, mtoa makala hiyo anadai Senzo hajafa. Niliwahi andika kueleza mawazo yangu haya lakini alinipa link nisome kuhusu maisha na hatima ya Senzo. Hadi leo nashindwa kujua ni kweli Senzo hakufa? Na kama alikufa, je kuna uhusiano wowote kati ya kifo cha Senzo na mzozo wa kibiashara kati yake na Lucky? Je, ni kweli kifo cha Lucky ni kisasi kutokana na kifo cha Senzo? Na mwisho, Lucky alikuwa kwenye mtandao wa freemason kama ambavyo inasemekana alikuwa humo Bob Marly?
Kimsingi siwezi. Sijawa na uelewa mpana kuhusiana na hilo. Nilichobahatika kufahamu ni kutoelewana kimaslahi kati yao wakati Senzo yuko chini ya Lucky, jambo lililomfanya Senzo aanzishe kundi lake. Yasemekana (sina data) Senzo alipotoa album zile mbili haraka haraka ziliathiri sana mauzo ya Lucky. Hicho kikawa chanzo cha uhasama kati yao. Tafadhali naomba nieleweshe kwa kina.Ahsante sana kwa mchango wako mkuu. Unaweza kunitajia jina kamili la Senzo ukanipa kwa ufupi alijiunga lini na bendi ya Lucky Dube na aliondoka lini? Achilia mbali kifo chake. Ukifanikiwa kuweka habari yake hapa, angalia mchango wake kwenye mziki wa Dube kisha upime kama angeweza kuwa tishio kibiashara kiasi cha Dube kuamua kupoteza uhai wake.
Kimsingi siwezi. Sijawa na uelewa mpana kuhusiana na hilo. Nilichobahatika kufahamu ni kutoelewana kimaslahi kati yao wakati Senzo yuko chini ya Lucky, jambo lililomfanya Senzo aanzishe kundi lake. Yasemekana (sina data) Senzo alipotoa album zile mbili haraka haraka ziliathiri sana mauzo ya Lucky. Hicho kikawa chanzo cha uhasama kati yao. Tafadhali naomba nieleweshe kwa kina.
duh!Hebu kama unaweza ndugu, tusaidie chanzo chako kilichokupa taarifa kuwa kulikuwa na kutokuelewana kimaslahi kati ya Senzo na Dube.
Kwa taarifa zilizopo zinazomhusu Dube, Senzo hajawahi kufanya nae kazi labda kama alikuwa anatumia jina na sura nyingine.
Pia ukumbuke waafrika kusini ni kama wa laana hivi, kuna mwanamziki wa Mafikizolo walishawahi kumuua pia kwasababu za kipumbavu kabisa!! K
Wapi mkuu,hivi leo hii hata tukichukua simple analysis senzo ameuza nakala ngapi ukilinganisha na lucky dube???kwa kipindi hicho unachosema walikuwa ktk ushindani.Kimsingi siwezi. Sijawa na uelewa mpana kuhusiana na hilo. Nilichobahatika kufahamu ni kutoelewana kimaslahi kati yao wakati Senzo yuko chini ya Lucky, jambo lililomfanya Senzo aanzishe kundi lake. Yasemekana (sina data) Senzo alipotoa album zile mbili haraka haraka ziliathiri sana mauzo ya Lucky. Hicho kikawa chanzo cha uhasama kati yao. Tafadhali naomba nieleweshe kwa kina.
Kimsingi siwezi. Sijawa na uelewa mpana kuhusiana na hilo. Nilichobahatika kufahamu ni kutoelewana kimaslahi kati yao wakati Senzo yuko chini ya Lucky, jambo lililomfanya Senzo aanzishe kundi lake. Yasemekana (sina data) Senzo alipotoa album zile mbili haraka haraka ziliathiri sana mauzo ya Lucky. Hicho kikawa chanzo cha uhasama kati yao. Tafadhali naomba nieleweshe kwa kina.
nimependa ulivoweka source big up sana mkuu bandiko limekaa vyema
Na siku jamaa kafa Dube kahojiwa kasema hausiki ...akaongezea kuwa kama kweli kahusika kumuua jamaa na yeye basi auliwe!
So alivyouliwa kweli watu wakasema KARMA hiyoooo...
Unaemzungumzia hapa ni Senzo. Naomba nikukumbushe, bendi na umaarufu wa Lucky Dube haukupungua wala kutetereka hata baada ya Senzo kuondoka kwenye kundi lake. Vile vile fuatilia mafanikio yake hadi mauti inamkuta utaona na kupata picha alikuwa mtu wa aina gani.
Hayo mengine tumuachie hakimu wa haki atakaehukumu watu wote siku moja.
Kwangu, anaendelea kuwa mwanamziki bora wa reggae wa nyakati zote. Ana mchango mkubwa sana kwenye maisha yangu kwa namna moja ama nyingine.
Umeona ndugu yangu!!
Watu hasa wa TZ wametunga hii habari ya Senzo! Kuna siku mtangazaji wa redio moja hivi akatangaza wimbo wa usizi uliimbwa na Senzo!!! Nikashangaa sana sana, kwani aliyeimba ni huyu Cele
Hebu kama unaweza ndugu, tusaidie chanzo chako kilichokupa taarifa kuwa kulikuwa na kutokuelewana kimaslahi kati ya Senzo na Dube.
Kwa taarifa zilizopo zinazomhusu Dube, Senzo hajawahi kufanya nae kazi labda kama alikuwa anatumia jina na sura nyingine.
Pia ukumbuke waafrika kusini ni kama wa laana hivi, kuna mwanamziki wa Mafikizolo walishawahi kumuua pia kwasababu za kipumbavu kabisa!! K
View attachment 613116 View attachment 613116 View attachment 613117 View attachment 613117
Genre: Reggae
Albums: Worshipping You Love, Irene, Senzo, I Am Sorry, The Best Of Senza
Record labels: The CCP Record Company (Pty) Limited, EMI South Africa
Songs
Who's Gonna Care?
Worshipping You Love · 2010
View attachment 613117
Nothing But Prayer
Senzo · 2008
View attachment 613116
Ngixolele
Irene · 2010
Sasa kama Dube aliuwawa 2007, Senzo Mthethwa ameendelea kutoa album 2010, hauoni kama huo ni uzushi?
[emoji23] [emoji23] mkuu unalia sanaKibao chake cha slave. Nikiwa nimepiga mtungi hua nalia sana.
" ooh Shembeee,shembe is the way,NOBUNAZARETHAAA"...thanks rasta nimekuelewa,but the thing is,mimi ninaamini alikuwa anakula majani!! nmewahi kula sana majani huko nyuma,I remember those moments nakuwa na deep thinking na deep feelings nikilia majani!! nshawahi kuwa na studio kipindi flan,I remember nikila majani nikikaa kwenye FL(fruitloops) hizo beat zinazotoka hapo ni hatariii,ndiyo maana kwa mashairi yake Dube,na messages zake nashawishika kabisa kuamini alikuwa anakula ganja!! mtu wa kawaida huwezi kuwaza kama alivyokuwa anawaza huyu jamaa!!Yote yawezekana Tobinho, ila katika majibu yake mbalimbali kwa maswali aliyoulizwa, alisema hatumii ganja. Kuhusu wimbo Rastaman's Prayer' toka album ya 'Trinity' iliyotoka mwaka 1995,... kwa nilivyomuelewa Dube, si kwamba alikuwa akisifia ganja/marijuana ama bangi, no, alikuwa anaelezea namna gani wanadamu tunavyomuomba Mungu kwa mahitaji yetu mbalimbali, naye (Mungu) bila hiyana hujibu maombi yetu. Mfano wanasiasa huwa wanatumia uongo zaidi na ahadi za kufikirika ili wapate nafasi wanazozihitaji, mataifa makubwa nayo huwakandamiza mataifa madogo kwa manufaa yao, ila yote haya huwa hayawezekani bila kupiga goti kwa Mungu; Wale wanaovuta bangi pia humuomba Mungu kuistawisha, unaona jinsi alichokuwa anamaanisha! Angalia hiyo mashairi hapo chini kisha uchambue. Ila pia inawezekana aliona majibu ya anatumia au kutokutumia ganja hayakuwa muhimu zaidi kwa watu. Inawezekana pia alikuwa anatumia na baadaye akaacha kutokana na labda kuwa muumini wa dini ya Kikristo ya 'shembe" ambayo yeye Dube alikuwa muumini wake.
"There comes a time
In everyman's life where he's got to face
The truth no matter what
We are coming to you father
With our sins and everything
To thank you
Those that smoke marijuana
Wanna thank you father
For making it grow internationally
They wanna thank you lord
Even though police cut it down
Sometimes they burn it down
But it grows again
Thank you father
We wanna thank you father
For everything you've given us
Nations that oppress other nations
Wanna thank you father
Even though it's painful to be oppressed
But they thank you...
For making them strong
Politicians thank you father
For making them to be able
To lie with a straight face
While the nation cries
They wanna thank you lord
yap anasema "they"... but msanii anaweza kuongelea kitu kingine ilhali akijimaanisha yeye mwenyewe!! anyways,point yangu kubwa ni kwamva,ile deep thinking na zile message zake mtu wa kawaida hawezi andika.there must be a catalyst which is ganjaAnasema
Those that smoke marijuana wanna thank you father for making it grow internationally,
Even though police cut it down sometimes they burn it down but it grows again
They wanna thank you father