Kwani huyu sio mwanamke? Jesus Christ on the cross...!!!Ushoga Ni hatari Sana I can imagine chain aliyoiacha, R. I. P lucky
Heeeeh maadam umeamua kunitag kabisaah, kwahiyo kifo ni ajabu au jambo geni?Cocastic badilika kijana acha kusingizia homoni
Kifo kipo ila sio cha mateso kama John a.k.a lucky kijana wa mwanza ghana
Makubwa uwiiiiiih lol
Dogo!, Ulikumbwa na nini hadi ukawa hivyo!?Heeeeh maadam umeamua kunitag kabisaah, kwahiyo kifo ni ajabu au jambo geni?
Wanaokufa wote wakiwa vijana ni gays? Kifo kipo na haki epukiki.
Halafu sio kila gay anakufa kwa huo ugonjwa, na wala hatufanani life style.
But ahsante kwa ushauri, enjoy life n relaaax.
Umekua msemaji wangu, haya sawa ongeza juhudi.Mwenyewe anasingizia homoni za kike zimemzidi nguvu
Kwann lakini, embu muogopeni Mungu basiMakubwa uwiiiiiih lol
Dogo!, Ulikumbwa na nini hadi ukawa hivyo!?
Waulize hao waliosema ndo wanajua.Kwani wewe shog.
Duuh!Alisema alibakwa na jirani yake.
Picha yake, kassim ni yupi?Mbona anko Kassim anazeeka na ushoga wake.
Utasema humjui ni yule mpishi wa macelebrities wetu.
Usafini wanamtumia sana.
Angesikiliza asinge fika hapo alipo huenda angezikwa kwa heshima.RIP ,you were courageous to live your life in a society that is full of discrimination and hate..brave of you.. RIP
Duuuh aiseeee!! [emoji848]Culture gal ni msagaji actually jike dume na anajulikana kabisa na alishajitangaza ila haishi bongo anakaa kwa madiba na kaoa mwanamke mwenzie na wameadopt mtoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekua msemaji wangu, haya sawa ongeza juhudi.
[emoji23][emoji23][emoji1324], (tupo msibani jamani)Lakini jamaa lilikua litamu sana na tako laini basi tu
Wee jamaa huwa unatetea sana ushoga na usagaji. Sijui huwa haswa una maslai gani na hivyo vitu.Again mwana utafiti, sijui utafiti wako hua unaufanyia wapi,