cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Nimesikitika jinsi alivotelekezwa huyo luckyHuyo ni mhamiaji kutoka Mwanza.
Kino inasingiziwa sana.
Wazawa hawana ujinga huo.
Wakuja ni wengi na kino vyumba bei rahisi huko uswekeni.
Usafiri ni gari moja tena masaa yote.
Mtu hawezi kudanga masaki au kuwa bar man samaki samaki posta akapange mbagala lazima atatafuta room kino.
Kama huyu luck moyo mashine alipangishiwaga chumba cha 40,000 nyuma ya masai.