Lucky “Moyo mashine” afariki dunia

Lucky “Moyo mashine” afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Hakuna tag hapo punguza kupanic vaa kanga uende kumzika mwenzio
Heeeeh maadam umeamua kunitag kabisaah, kwahiyo kifo ni ajabu au jambo geni?
Wanaokufa wote wakiwa vijana ni gays? Kifo kipo na haki epukiki.
Halafu sio kila gay anakufa kwa huo ugonjwa, na wala hatufanani life style.
But ahsante kwa ushauri, enjoy life n relaaax.
 
Wee jamaa huwa unatetea sana ushoga na usagaji. Sijui huwa haswa una maslai gani na hivyo vitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji304][emoji304]
images%20(16).jpg
 
Vitabu vitakatifu vimekataza zinaa, zinaa inaleta magonjwa ya kuambukiza, inaleta mimba zisizotarajiwa, inaleta watoto wa mitaani, inaleta mtafaruku kwenye jamii husika, n.k,

Ukinyoonya kidole kimoja vinne vinakutazama.
Vyote tu visivo halali Ni hatari mno Ila assume mtoto wa kiume ageuke ka lucky Mimi ka na mtoto wa hivo ningeumia Ila uamuzi Ni wake though dhambi zote Ni sawa Ila ushoga hapana kwa kweli Bora wanakoboana kuliko shoga
 
Yaani bora usagaji kuliko ushoga.

Mimi sitaki kabisaaaaa.
 
Siyo kufanya tu bila lubricant.
Ni kwamba hawa wassenge wanashare sana wanaume.
Wana share mno.
Na huwa wana maisha magumu mno mwenzake akiopoa danga yupo radhi afanye juu chini na yeye awe nae.

Kingine wanapenda starehe za kijinga.
Mtu anaenda bar anataka kunywa heineken sijui castle light wakati hata hela ya kununua maji ya uhai hana kakinunuliwa bia kadhaa anainamishwa kwenye uchochoro.
Inasikitisha sana ndio maana Mimi huwa nasema ushoga Tanzania ni complicated sana wengi wao wanajiuza,tofauti na nchi nyingine Gay's hufanya kwa starehe,lazima wafe kama kuku
 
Inasikitisha sana ndio maana Mimi huwa nasema ushoga Tanzania ni complicated sana wengi wao wanajiuza,tofauti na nchi nyingine Gay's hufanya kwa starehe,lazima wafe kama kuku
Wachache mno wanaofanya kwa starehe.
Na wanaofanya kwa starehe wanajificha hawawezi jipaka ma make up na kuvaa vichupi kubinua matako.

Mtu anayefanya kwa starehe huyo itakuwa ni inborn character na atakuwa anafanya kwa kujificha na si ajabu kwenye platforms kama hizi anaupinga ushoga na kutoa laana kumbe nae analiwa.

Ila wengi wao njaa tu na kuziendekeza.
Maana unaweza kuwa na njaa ukajishughulisha na kupata sh mbili.
 
Umemaliza kila kitu,ngoja tuishie hapa
 
Yaani bora usagaji kuliko ushoga.

Mimi sitaki kabisaaaaa.
Kuna sehemu nilishawahi soma kwamba 'wanawake wana asili ya maprnzi ya jinsia moja' ... sipingani na usagaji kwasab haibadiri uanamke!

Ila ushoga ni habari nyingine hiyo
 
  • Thanks
Reactions: amu
Utafiti wangu ni pamoja na humu,nishawahi kuona group moja la Gay's Tz members wapo kama 700+, members wengi wanajiuza kwa location,njoo pm nikupe ushahidi
Sasa ishu ya kujiuza ni ajabu? Wanawake na Wanaume wanajiuza wamejaa tele kwenye mitandao,

Wait, uliingia kwenye group la gays?
Juzi ulikua una search about lesbians,
[emoji848][emoji848]

Okay nimekuelewa, [emoji2960][emoji2960]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom