Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Hakuna tag hapo punguza kupanic vaa kanga uende kumzika mwenzio
Heeeeh maadam umeamua kunitag kabisaah, kwahiyo kifo ni ajabu au jambo geni?
Wanaokufa wote wakiwa vijana ni gays? Kifo kipo na haki epukiki.
Halafu sio kila gay anakufa kwa huo ugonjwa, na wala hatufanani life style.
But ahsante kwa ushauri, enjoy life n relaaax.