warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
MSANII wa filamu Bongo, Lucy Komba ambaye amehamishia makazi yake nchini Denmark kwa mumewe , imebainika kuwa kilichomfanya aolewe na mzungu huyo ni kutokana na kufuata masilahi na siyo mapenzi ya dhati kwa kuwa bado hayupo tayari kuzaa naye .
Taarifa kutoka kwa mtu wa karibu na msanii huyo zilieleza kuwa , Lucy mpaka sasa hafikirii hata kidogo suala la kuzaa na mzungu huyo, kwa kuwa kilichompeleka huko si upendo wa dhati hivyo suala la kuzaa naye halipo kabisa kichwani mwake .
Baada ya kupata ubuyu huo , paparazi wetu alimsaka Lucy kwa njia ya simu ambapo alisema anatarajia kuanza kusoma akishamaliza atamzalia mumewe watoto watatu.