Lucy Komba agoma kumzalia mzungu wake

Lucy Komba agoma kumzalia mzungu wake

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MSANII wa filamu Bongo, Lucy Komba ambaye amehamishia makazi yake nchini Denmark kwa mumewe , imebainika kuwa kilichomfanya aolewe na mzungu huyo ni kutokana na kufuata masilahi na siyo mapenzi ya dhati kwa kuwa bado hayupo tayari kuzaa naye .

Taarifa kutoka kwa mtu wa karibu na msanii huyo zilieleza kuwa , Lucy mpaka sasa hafikirii hata kidogo suala la kuzaa na mzungu huyo, kwa kuwa kilichompeleka huko si upendo wa dhati hivyo suala la kuzaa naye halipo kabisa kichwani mwake .

Baada ya kupata ubuyu huo , paparazi wetu alimsaka Lucy kwa njia ya simu ambapo alisema anatarajia kuanza kusoma akishamaliza atamzalia mumewe watoto watatu.
 
Attachments

  • 1435226382186.jpg
    1435226382186.jpg
    29.8 KB · Views: 988
MSANII wa filamu Bongo , Lucy Komba ambaye amehamishia makazi yake nchini Denmark kwa mumewe , imebainika kuwa kilichomfanya aolewe na mzungu huyo ni kutokana na kufuata masilahi na siyo mapenzi ya dhati kwa kuwa bado hayupo tayari kuzaa naye .
Taarifa kutoka kwa mtu wa karibu na msanii huyo zilieleza kuwa , Lucy mpaka sasa hafikirii hata kidogo suala la kuzaa na mzungu huyo, kwa kuwa kilichompeleka huko si upendo wa dhati hivyo suala la kuzaa naye halipo kabisa kichwani mwake .
Baada ya kupata ubuyu huo , paparazi wetu alimsaka Lucy kwa njia ya simu ambapo alisema anatarajia kuanza kusoma akishamaliza atamzalia mumewe watoto watatu

Huyu mzungu mmh lazma ni teamjogoo

Amzalie, asimzalie cha muimu anapiga mashine hilo ndio swala la muhimu.
 
MSANII wa filamu Bongo, Lucy Komba ambaye amehamishia makazi yake nchini Denmark kwa mumewe , imebainika kuwa kilichomfanya aolewe na mzungu huyo ni kutokana na kufuata masilahi na siyo mapenzi ya dhati kwa kuwa bado hayupo tayari kuzaa naye .

Taarifa kutoka kwa mtu wa karibu na msanii huyo zilieleza kuwa , Lucy mpaka sasa hafikirii hata kidogo suala la kuzaa na mzungu huyo, kwa kuwa kilichompeleka huko si upendo wa dhati hivyo suala la kuzaa naye halipo kabisa kichwani mwake .

Baada ya kupata ubuyu huo , paparazi wetu alimsaka Lucy kwa njia ya simu ambapo alisema anatarajia kuanza kusoma akishamaliza atamzalia mumewe watoto watatu.
Ndoa na yule hamna tena ilishachali kitambo mbona, sema tu hana kik siku hili magazetini hauziki la sivyo tungeshaisikia kitambo sana, mimi nimesikia kwa watu kama wa 4 tofauti hivi wanaishi huko huko, na nilithibishiwa kwa 100%, ana jamaa tu anaishi naye kwa sasa.
 
MSANII wa filamu Bongo, Lucy Komba ambaye amehamishia makazi yake nchini Denmark kwa mumewe , imebainika kuwa kilichomfanya aolewe na mzungu huyo ni kutokana na kufuata masilahi na siyo mapenzi ya dhati kwa kuwa bado hayupo tayari kuzaa naye .

Taarifa kutoka kwa mtu wa karibu na msanii huyo zilieleza kuwa , Lucy mpaka sasa hafikirii hata kidogo suala la kuzaa na mzungu huyo, kwa kuwa kilichompeleka huko si upendo wa dhati hivyo suala la kuzaa naye halipo kabisa kichwani mwake .

Baada ya kupata ubuyu huo , paparazi wetu alimsaka Lucy kwa njia ya simu ambapo alisema anatarajia kuanza kusoma akishamaliza atamzalia mumewe watoto watatu.
upload_2016-5-20_17-18-5.png
upload_2016-5-20_17-18-5.png
upload_2016-5-20_17-18-5.png
 
wazungu wanapenda sana michezo ile, hawana shida na kuzaa...bata atosha.
 
Back
Top Bottom