warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Jamani nikimuangalia Lucy nakumbukaga tu lile balaa lake siku ya harusi na mzungu 🤣🤣🤣🤣. Wenyewe wameenda zao sijui mbudya wenyewe kuturusha roho wanazengo, wakapanda boti, shoga angu akawa busy anajipiga selfie mwenyewe , Mara mtumbwi usizame nini ? Wote wakadumbukia kwenye maji , jamani Mimi na Mama Sabrina tulicheka mwezi mzima🤣🤣🤣🤣🤣🤣, cheusi dawa alijua kutuvunja mbavu , na gauni lake mwenyewe kama la kipaimara cha miaka 1980 na skuna Zake nyeupe kama Ma nesi wa muhimbili🤣🤣🤣, Ila shoga tulimchamba muke ya muzungu🤣🤣🤣
Naona bibie kajifungua mtoto wa kike, hongera zake , na amenenepa mwenyewe , ndoa tamu , mi nilijua shoga umeachika maana hatujaona drama zako na mzungu kitambo, hongera mwaya
Naona bibie kajifungua mtoto wa kike, hongera zake , na amenenepa mwenyewe , ndoa tamu , mi nilijua shoga umeachika maana hatujaona drama zako na mzungu kitambo, hongera mwaya