Dinazarde, Mrembo by Nature, geniveros, Heaven on Earth, Madame B, Mamaafacebook, Heaven Sent, ram, matumbo, mamakibunju aya sasa kumekucha
Hhhhaaaaaa utamuua warumi kwa kicheko ukimkumbusha simu nyeupe,shela jeupe.viatu vyeupe
yaani as if ni mtu ambae hajielewi
au aliambiwa hatoolewa
wha happened to her head after marriage?
mzungu huyoo ana nini wabongo wasicho nacho
wao si ndo kutwa kwao huko kuachana mtu anaolewa leo kesho anafile divorce
mpuuzi sana huyu
Hahahahaha full ku-match bi harusi weee
amkomeshe nani?!!!
nineolewa b4 yeye tena under 30 years sina habariii
tena ndoa ilikuja mlangoni wala si ya nyungu au kwa gwajima!!!
yeye tu na hashuo zake za mbaazi
Ingekuwaa wote mlioolewa ndo mna hashuo ka la bibi lucy, nahisi kungekuwa na hospitali na special wards kwa ambao hatujaolewa. Ni nini hiki kiruuuu
Alikuwa kama barafu.Vipi lakini mzima ww?
Huyu naona hakutegemea kuolewa sio bure!
Hahaha eti kama barafu lol. Me mzima mpenzi wangu, sijui wewe
ana wazimu yule
ye aliyeolewa na mzungu pua
na klyn aliyekua na mengi nani anakula goodtime
ndoa ndoa ndoa ndoa!!!!&
asijishaue hapa ndoa ni riziki siku ikifika haina mjadala!
Mie mzima wa afya.Msalimie shem wangu
Ndio maana mikwara kibaooooo
Kwakweli
Mbona klyn katulia na ana mtu wa maana?
Hyu mzungu nae wakuongea mbele za watu!!
Mungu amhurumie tu
Hhhhaaaaaa utamuua warumi kwa kicheko ukimkumbusha simu nyeupe,shela jeupe.viatu vyeupe
Binamu sitaki bhna mie unajua nipo ikulu kifanya interview? Sasa nikionekana nacheka mwenyew apa utanipunguzia credit, kucy katuamulia mwaka huu kwa kweli, inabid nikanunue mbavu za kichina kwa kweli
ahahhah binamuuuuuuuuu hiyo aloshika bibie unayo weweeeee aahhhaha jamani lucy limbukeni tumuuulize huyo mzungu kwani alimkuta bibie n bikra???????