Lucy komba: Mapenzi ya wabongo wizi mtupu

Lucy komba: Mapenzi ya wabongo wizi mtupu

Wabongo kweli waduwanzi
Binamu niulizie kama mdenmark wa cheusidawa hana mdogo au kaka alie single nifill the blank.
 
yaani as if ni mtu ambae hajielewi
au aliambiwa hatoolewa
wha happened to her head after marriage?
mzungu huyoo ana nini wabongo wasicho nacho
wao si ndo kutwa kwao huko kuachana mtu anaolewa leo kesho anafile divorce
mpuuzi sana huyu

Mmmh nahisi hakutegemea kuolewa. So after kumuokota huyu mzungu ndo akasema ngoja watanikomaa mmmmh this girl naaah
 
amkomeshe nani?!!!
nineolewa b4 yeye tena under 30 years sina habariii
tena ndoa ilikuja mlangoni wala si ya nyungu au kwa gwajima!!!
yeye tu na hashuo zake za mbaazi

Ingekuwaa wote mlioolewa ndo mna hashuo ka la bibi lucy, nahisi kungekuwa na hospitali na special wards kwa ambao hatujaolewa. Ni nini hiki kiruuuu
 
Ingekuwaa wote mlioolewa ndo mna hashuo ka la bibi lucy, nahisi kungekuwa na hospitali na special wards kwa ambao hatujaolewa. Ni nini hiki kiruuuu

ana wazimu yule
ye aliyeolewa na mzungu pua
na klyn aliyekua na mengi nani anakula goodtime
ndoa ndoa ndoa ndoa!!!!&
asijishaue hapa ndoa ni riziki siku ikifika haina mjadala!
 
ana wazimu yule
ye aliyeolewa na mzungu pua
na klyn aliyekua na mengi nani anakula goodtime
ndoa ndoa ndoa ndoa!!!!&
asijishaue hapa ndoa ni riziki siku ikifika haina mjadala!

Afu ndoa yenyewe mbona ilikuwa ya kawaida mnooo. Sijaona kipya cha kumfanya ajishaue hivyo. Anyway me namuombea tu adumu kwenye hiyo ndoa, coz siku akiachika mmmmmh atajitangaza mwenyewe
 
Hhhhaaaaaa utamuua warumi kwa kicheko ukimkumbusha simu nyeupe,shela jeupe.viatu vyeupe

Binamu sitaki bhna mie unajua nipo ikulu kifanya interview? Sasa nikionekana nacheka mwenyew apa utanipunguzia credit, kucy katuamulia mwaka huu kwa kweli, inabid nikanunue mbavu za kichina kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
Binamu sitaki bhna mie unajua nipo ikulu kifanya interview? Sasa nikionekana nacheka mwenyew apa utanipunguzia credit, kucy katuamulia mwaka huu kwa kweli, inabid nikanunue mbavu za kichina kwa kweli

Hhhhhaaaaaaaaaaaaaa interview ya nini tena binamu, dida nae yupo auuu
 
ahahhah binamuuuuuuuuu hiyo aloshika bibie unayo weweeeee aahhhaha jamani lucy limbukeni tumuuulize huyo mzungu kwani alimkuta bibie n bikra???????

Tunarushwa roho mwenzangu, Dinazarde una galaxy? Chezeya lucy weye, sasa sijui itakuwaje maana simu yenyew imetumbukia kwenye maji looh mashauz yalizid kwa kwel
 
Last edited by a moderator:
Wabongo kweli waduwanzi
Binamu niulizie kama mdenmark wa cheusidawa hana mdogo au kaka alie single nifill the blank.

Huyo mdenmark nae ndo wale wale, bora nikuunganishie kwa rummy wa julie mimacho, ila huyo mden mark hamna kitu apo
 
Tunarushwa roho mwenzangu, Dinazarde una galaxy? Chezeya lucy weye, sasa sijui itakuwaje maana simu yenyew imetumbukia kwenye maji looh mashauz yalizid kwa kwel

Yea ninazo tena tatu,hhhhaaaaaaa Lucy mwaka huu wakee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom