Tunarushwa roho mwenzangu, Dinazarde una galaxy? Chezeya lucy weye, sasa sijui itakuwaje maana simu yenyew imetumbukia kwenye maji looh mashauz yalizid kwa kwel
pole dada angu ingekuwa amri yangu ningesema usiolewe na hao wazungu maaana sina uhakika mpaka kama saizi uko mzima lucy wangu,huyo jama atakulaza KIFUDIFUDI na mbinguni utakusikia kwa bomba
Hahaha eti kama barafu lol. Me mzima mpenzi wangu, sijui wewe
shoga angu asante sana nimecheka hadi kulia ujue
lllooooh!!!
Pita kwa sinta ukasome wikiend story kwa chini kuna koment ya nesi na police utavunjika mbavu
shoga angu asante sana nimecheka hadi kulia ujue
lllooooh!!!
Hahaha poa shoga angu. Kizuri kula na nduguyo
Kibaya sumu kunywa peke yako mwenzangu
Hv huyo mthungu mbona kama hana akili vzuri jamani
yaani huyu vip jamani utafikiri hakytegemea.yuko kama limbukeni aliyeshindikana.ila wanaoolewa na wazungu japo sio wote wanakaulimbukeni fulani hivi wala sishangai.halafu hajui ndoa ni kuomba munguNi shidaaaaaaaaaa hapo mabinti watawasaka wazungu mpaka mikun...iote lamiii
Ahhhhahha limbukeni utawajua tu yaan huyu dada sikuwhi kufikir angekua hiv nilikua namuona.mpole mstaarabu eish kumbe mgeni
Akamtahiri kwanza ndio atupigie kelele zake
wapole hawa ndo malimbukeni wakuu.halafu lucy akae tu kimya.asije akajuta.ati wanaume wabongo ye baba ake mzungu?tena akome kabisaa.mi nachukia kweli mtu anayesujudu hizi kitimoto.
pole dada angu ingekuwa amri yangu ningesema usiolewe na hao wazungu maaana sina uhakika mpaka kama saizi uko mzima lucy wangu,huyo jama atakulaza KIFUDIFUDI na mbinguni utakusikia kwa bomba
Hv huyo mthungu mbona kama hana akili vzuri jamani
my ribs.tena ampeleke kwa wamasai maanake itakua sugu.