Lucy komba: Mapenzi ya wabongo wizi mtupu

Tunarushwa roho mwenzangu, Dinazarde una galaxy? Chezeya lucy weye, sasa sijui itakuwaje maana simu yenyew imetumbukia kwenye maji looh mashauz yalizid kwa kwel

Ahhhhahha limbukeni utawajua tu yaan huyu dada sikuwhi kufikir angekua hiv nilikua namuona.mpole mstaarabu eish kumbe mgeni
 
Last edited by a moderator:
pole dada angu ingekuwa amri yangu ningesema usiolewe na hao wazungu maaana sina uhakika mpaka kama saizi uko mzima lucy wangu,huyo jama atakulaza KIFUDIFUDI na mbinguni utakusikia kwa bomba
 
aaaahhhaaaaaa bhaaaaaaaaaa kwi kwi kwi kwi kwi jamani mbavu zangu, kwani nae hy Lucy mzima wa afya. kwa hiyo ngoma ndroo.
 
Asituletee za kuleta.....amepata hisani ya kuhifadhiwa maneno yanamtoka.Bongo lazima udanganywe coz katika soko ushindan huna.Tulia na mumeo kelele tu.
 
Ni shidaaaaaaaaaa hapo mabinti watawasaka wazungu mpaka mikun...iote lamiii
yaani huyu vip jamani utafikiri hakytegemea.yuko kama limbukeni aliyeshindikana.ila wanaoolewa na wazungu japo sio wote wanakaulimbukeni fulani hivi wala sishangai.halafu hajui ndoa ni kuomba mungu
.unaweza mpata mweusi mwenzio mkaenjoy kamma kawaida.Lucy acha hizo bwana hebu tulia unaboa.wazungu wenyewe hujaishi nao uone.umeendà juzi tu huko dern unajidai kuwajua sana.watu tumeishi nao decades and decades tunajua in and out.so funga mdomo mwombe mungu hiyo white trash itulie.
 
Ahhhhahha limbukeni utawajua tu yaan huyu dada sikuwhi kufikir angekua hiv nilikua namuona.mpole mstaarabu eish kumbe mgeni

wapole hawa ndo malimbukeni wakuu.halafu lucy akae tu kimya.asije akajuta.ati wanaume wabongo ye baba ake mzungu?tena akome kabisaa.mi nachukia kweli mtu anayesujudu hizi kitimoto.
 
Na kweli umenena kujua mapenz ukubwan nako shida sana
 
pole dada angu ingekuwa amri yangu ningesema usiolewe na hao wazungu maaana sina uhakika mpaka kama saizi uko mzima lucy wangu,huyo jama atakulaza KIFUDIFUDI na mbinguni utakusikia kwa bomba

Hahahaaaaa uwiiiiii
 
Back
Top Bottom