Kalipwa na ccm huyuMwigizaji wa zamani wa maigizo lucy Komba ameomba msamaha kwa Serikali na wananchi wa Tanzania kufuatia mjadala ulioibuka baada ya kuwa moja ya watu waliowahi kuzua kauli tata za maandamano Mwaka Jana.
Baadhi ya wananchi na watumiaji wa mitandao ya kijamii wanamtuhumu Lucy Komba kuwa alikuwa miongoni mwa watu waliohamasisha maandamano hayo. Kutokana na hali hiyo, amekuwa akikosolewa vikali, huku baadhi wakisema hawataki arejee nchini kwa ajili ya kufanya tamasha lake la wangoni hapa sababu hakuwa na uzalenda mwaka jana wakidai kuwa kauli zake za awali ziliwakwaza Hata Wasanii wenzake
Pia soma: PostGE2025 - Maandamano na kuhamasisha maandamano ni kosa kisheria?
Nampenda huyu DadaMwigizaji wa zamani wa maigizo lucy Komba ameomba msamaha kwa Serikali na wananchi wa Tanzania kufuatia mjadala ulioibuka baada ya kuwa moja ya watu waliowahi kuzua kauli tata za maandamano Mwaka Jana.
Baadhi ya wananchi na watumiaji wa mitandao ya kijamii wanamtuhumu Lucy Komba kuwa alikuwa miongoni mwa watu waliohamasisha maandamano hayo. Kutokana na hali hiyo, amekuwa akikosolewa vikali, huku baadhi wakisema hawataki arejee nchini kwa ajili ya kufanya tamasha lake la wangoni hapa sababu hakuwa na uzalenda mwaka jana wakidai kuwa kauli zake za awali ziliwakwaza Hata Wasanii wenzake
Pia soma: PostGE2025 - Maandamano na kuhamasisha maandamano ni kosa kisheria?
Sasa na wale waliofia majumbani walishawishiwa na nani kubaki ndani?DAMU za watoto walioshawishiwa kwenda kupambana na Mapolisi wenye silaha zimeanza kuwatafuna
Mnashawishi wengine wkt nyinyi mmejificha sehemu salama
Wanzenu wamezika sehemu za familia zao
Kuna yule mwengine kabanwa na njaa na kuomba omba kaona sio poa❗️
pengine nayeye kwaombwa chochote😜
ndio akili ikamkaa sawa na kumuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wananchi wa Tanzania✍️
Mkiambiwa Tanzania hii ndio Mama ndio Baba 👈
uko kwengine sio
kwenu👈
tutunze Amani yetu itutunze👈
lkn kama ni Umasikini ni wetu sote kwapamoja tunaweza kujituma nasisi tukawa na maendeleo makubwa kama wengine👈
sasa mnachoma Tanzania ili mwende wapi nasisi wengine twende wapi 🫎🦘✍️
Mie mwenyewe nimemjua leo, eti naye alikua na ushawishi wa kumuingiza mtu barabarani?Kwa ushawishi gani alionao mbona wanajipa umuhimu kwenye mambo ambayo hawana huwezo nayo ndo kwanza namuona huyu dada
Huyo anafahamika ila kinyesi km wewe ndiyo hujulikaniNani anamjua huyu taka taka
Wachochezi wameanza kutubu!!
We umelipwa na nani, wakati anahamasisha maandamano alilipwa na nani? Nyie chadema ni mbwa kokoKalipwa na ccm huyu