THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Una vomment mara mbili mbili umesoma shuke gani?Wanaweweseka sio kwa kuogopa Serikali hapana ni zile za Watoto wameshawishiwa nawao ❗️
wkt wao wamejificha wenzao yamewakuta✍️
Una vomment mara mbili mbili umesoma shuke gani?Wanaweweseka sio kwa kuogopa Serikali hapana ni zile za Watoto wameshawishiwa nawao ❗️
wkt wao wamejificha wenzao yamewakuta✍️
Mwigizaji wa zamani wa maigizo lucy Komba ameomba msamaha kwa Serikali na wananchi wa Tanzania kufuatia mjadala ulioibuka baada ya kuwa moja ya watu waliowahi kuzua kauli tata za maandamano Mwaka Jana.
Baadhi ya wananchi na watumiaji wa mitandao ya kijamii wanamtuhumu Lucy Komba kuwa alikuwa miongoni mwa watu waliohamasisha maandamano hayo. Kutokana na hali hiyo, amekuwa akikosolewa vikali, huku baadhi wakisema hawataki arejee nchini kwa ajili ya kufanya tamasha lake la wangoni hapa sababu hakuwa na uzalenda mwaka jana wakidai kuwa kauli zake za awali ziliwakwaza Hata Wasanii wenzake
Pia soma: PostGE2025 - Maandamano na kuhamasisha maandamano ni kosa kisheria?
Una vomment mara mbili mbili umesoma shuke gani?
Una vomment mara mbili mbili umesoma shuke gani?
CCM bila matusi haiwezekaniWe umelipwa na nani, wakati anahamasisha maandamano alilipwa na nani? Nyie chadema ni mbwa koko
😂😂😂😂😂Sasa hii kesi ngumu tufanye nimekuelewa🤠
Mwigizaji wa zamani wa maigizo lucy Komba ameomba msamaha kwa Serikali na wananchi wa Tanzania kufuatia mjadala ulioibuka baada ya kuwa moja ya watu waliowahi kuzua kauli tata za maandamano Mwaka Jana.
Baadhi ya wananchi na watumiaji wa mitandao ya kijamii wanamtuhumu Lucy Komba kuwa alikuwa miongoni mwa watu waliohamasisha maandamano hayo. Kutokana na hali hiyo, amekuwa akikosolewa vikali, huku baadhi wakisema hawataki arejee nchini kwa ajili ya kufanya tamasha lake la wangoni hapa sababu hakuwa na uzalenda mwaka jana wakidai kuwa kauli zake za awali ziliwakwaza Hata Wasanii wenzake
Pia soma: PostGE2025 - Maandamano na kuhamasisha maandamano ni kosa kisheria?
Mbona mnakwepa swali la wajibu!? Una haki ya kuandamana ndiyo hatukatai....je Una haki pia ya kukata watu vidole? Au kuchoma sheli za watu? Au majengo ya serikali?Ibara ya 20(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Ibara hiyo inasema:
"Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani..."
Hii ndiyo ibara inayotambuliwa kama msingi wa kikatiba wa uhuru wa kukusanyika na kuandamana kwa amani nchini Tanzania
Unaliwa 🍑DAMU za watoto walioshawishiwa kwenda kupambana na Mapolisi wenye silaha zimeanza kuwatafuna
Mnashawishi wengine wkt nyinyi mmejificha sehemu salama
Wanzenu wamezika sehemu za familia zao
Kuna yule mwengine sijui TFF nayeye kabanwa na njaa na kuomba omba kaona sio poa❗️
pengine nayeye kaombwa chochote😜
ndio akili ikamkaa sawa😜
na kuchutama halaka Kenya sio kuzuri pale kuomba omba wanaume wenzio❗️
Kapiga hesabu kaona kuchutama ndio msingi chap
kumuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania👈
na Wananchi wa Tanzania✍️
Mkiambiwa Tanzania hii ndio Mama ndio Baba 👈
uko kwengine sio
kwenu👈
tutunze Amani yetu itutunze👈
lkn kama ni Umasikini ni wetu sote kwapamoja tunaweza kujituma nasisi tukawa na maendeleo makubwa kama wengine👈
sasa mnachoma Tanzania ili mwende wapi nasisi wengine twende wapi 🫎🦘✍️
Lucy kipindi cha uchaguzi aliunga mkono maandamanoLucy anaomba msamaha.
Amemkosea nani?
Ndio leo siku ya kwanza namuona.
Huyu chawa wa mama atakuwa anatumiwa na Wahuni kupotosha na kufanya propaganda.Lucy Komba: Naomba msamaha kwa maandamano ya mwaka jana
Amani bila haki ni amani gani iyoo mbona walisema semeni ualibifu wamefanya wakiasi gani wawalipe nanyinyi muwaludishie nduguzao uhaiDAMU za watoto walioshawishiwa kwenda kupambana na Mapolisi wenye silaha zimeanza kuwatafuna
Mnashawishi wengine wkt nyinyi mmejificha sehemu salama
Wanzenu wamezika sehemu za familia zao
Kuna yule mwengine sijui TFF nayeye kabanwa na njaa na kuomba omba kaona sio poa❗️
pengine nayeye kaombwa chochote😜
ndio akili ikamkaa sawa😜
na kuchutama halaka Kenya sio kuzuri pale kuomba omba wanaume wenzio❗️
Kapiga hesabu kaona kuchutama ndio msingi chap
kumuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania👈
na Wananchi wa Tanzania✍️
Mkiambiwa Tanzania hii ndio Mama ndio Baba 👈
uko kwengine sio
kwenu👈
tutunze Amani yetu itutunze👈
lkn kama ni Umasikini ni wetu sote kwapamoja tunaweza kujituma nasisi tukawa na maendeleo makubwa kama wengine👈
sasa mnachoma Tanzania ili mwende wapi nasisi wengine twende wapi 🫎🦘✍️
Hata kama alichochea maandamano, kwani maandamano Tanzania ni kosa la jinai?Lucy kipindi cha uchaguzi aliunga mkono maandamano
Akabariki watu kuandamana.
Sasa anaishi nje, aliolewa huko.
Sasa hivi karibuni sijui ana safari ya kurudi.
Aliibuka kijana mmoja huko Insta akaanza kumshambulia Lucy kuwa alichangia watoto wa watu kufa, akirudi serikali imchukulie hatua stahiki kwa alichokifanya.
Aliibuka Lucy na kumjibu vikali sana Yule kijana kwamba ni wapi alichochea maandamano.
Naona Sasa unga umezidi maji, ameona aombe tu Msamaha.
Naona amefanya hivyo kutokana na presha aliyopewaHata kama alichochea maandamano, kwani maandamano Tanzania ni kosa la jinai?
Maandamano Tanzania ni kosa ambalo adhabu yake ni kifo cha papo hapo?
Watanzania wengi bado wana kiwango cha juu kabisa cha ujinga.
Mtu anaomba radhi kwa kutumia haki yake ya kikatiba……huu ni ujuha wa kipekee kabisa.