PostGE2025 Lucy Komba: Naomba msamaha kwa maandamano ya mwaka jana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Lkn kwakua yeye kawaomba msamaha watanzania lkn jina
la
RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 👈

hakumtaja uyo shangazi bado watanzania waendelee kumpiga mawe tu mana msamaha wake umekosa vitamin muhimu

anatakiwa kumuomba msamaha Amir Jeshi mkuu👈
mkuu wa vyote TANZANIA ✍️
 
Lucy anaomba msamaha.
Amemkosea nani?
Ndio leo siku ya kwanza namuona.
 
Mbona mnakwepa swali la wajibu!? Una haki ya kuandamana ndiyo hatukatai....je Una haki pia ya kukata watu vidole? Au kuchoma sheli za watu? Au majengo ya serikali?
 
Unaliwa 🍑
 
Lucy anaomba msamaha.
Amemkosea nani?
Ndio leo siku ya kwanza namuona.
Lucy kipindi cha uchaguzi aliunga mkono maandamano
Akabariki watu kuandamana.

Sasa anaishi nje, aliolewa huko.
Sasa hivi karibuni sijui ana safari ya kurudi.
Aliibuka kijana mmoja huko Insta akaanza kumshambulia Lucy kuwa alichangia watoto wa watu kufa, akirudi serikali imchukulie hatua stahiki kwa alichokifanya.

Aliibuka Lucy na kumjibu vikali sana Yule kijana kwamba ni wapi alichochea maandamano.
Naona Sasa unga umezidi maji, ameona aombe tu Msamaha.
 
Amani bila haki ni amani gani iyoo mbona walisema semeni ualibifu wamefanya wakiasi gani wawalipe nanyinyi muwaludishie nduguzao uhai
 
Hata kama alichochea maandamano, kwani maandamano Tanzania ni kosa la jinai?

Maandamano Tanzania ni kosa ambalo adhabu yake ni kifo cha papo hapo?

Watanzania wengi bado wana kiwango cha juu kabisa cha ujinga.

Mtu anaomba radhi kwa kutumia haki yake ya kikatiba……huu ni ujuha wa kipekee kabisa.
 
Naona amefanya hivyo kutokana na presha aliyopewa
Hana kosa lolote ila anahofia usalama wake
Hata ukimsikiliza vizuri anasema ameona watu wengi wanapeleka mashambulizi kwake kwamba alikosea..ila siyo yeye mwenyewe aliyependa kufanya hivyo.
 
LUCY KOMBA AOMBA MSAMAHA KUHAMASISHA MAANDAMANO

Badala ya kumkebehi au kumdharau kwa kujishusha na kuomba msamaha, tujifunze kwamba kuomba msamaha ni ishara ya ujasiri na uwajibikaji.

Pia tukumbuke kuwa nyumbani ni nyumbani. Tunaweza kwenda sehemu mbalimbali kutafuta fursa au kuishi, lakini mwisho wa yote wengi wetu hurudi nyumbani. Ndiyo maana ni muhimu kulinda amani, umoja na kuheshimu nchi yetu kwa kauli na matendo yetu.

Binafsi nimejifunza umuhimu wa kutambua pale mtu anapoona amekosea na kuchukua hatua ya kuomba msamaha. Hilo ni funzo la unyenyekevu na uwajibikaji ambalo sote tunaweza kujifunza.

Mwenyezi Mungu aendelee kuitunza Tanzania na atupe hekima ya kujenga badala ya kubomoa.
 

Attachments

  • Badala ya kumkebehi au kumdharau kwa kujishusha na kuomba msamaha, tujifunze kwamba kuomba msama.mp4
    14.9 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…