Hivi pale mahakamani Luth anafanya kazi gani vile?
kweli kwa madada wa kibongo kuolewa na mzungu ni bonge la bahati kwao.
Huyu dada naona kachanganyikiwa hakuwahi kutegemea yani kwake kuwa mke wa mzungu ni sawa na bahati ya mpiga debe kupewa uwaziri.
kabisaaaa yaan imekua shidaaaa aisee ameona ni zali wakati ni kawaida tu ,au ndio kiki mjini
Nimeanza patwa wasiwasi na watu wanaotumia hili jina la komba Ref: Mbunge ............................
Kabisaaaa yaan imekua shidaaaa aisee ameona ni zali wakati ni kawaida tu ,au ndio kiki mjini
maskini shoga ako ndo kashaachwa hivyo, atajibeba
maskini shoga ako ndo kashaachwa hivyo, atajibeba
Bina umenielewa pm??halafu nione mtu anajipendekeza kwakoo hata hawahangaiki na wewee ntameza mtu
maskini shoga ako ndo kashaachwa hivyo, atajibeba
Hahaaa lol çpati picha ulivofurahi