Lucy Komba: Nimeishi na mr. Wiki mbili tu

Lucy Komba: Nimeishi na mr. Wiki mbili tu

basi akiendapo huko scandinavia mi namuomba mgao hata wa lapa tu za kuogea....
 
kweli kwa madada wa kibongo kuolewa na mzungu ni bonge la bahati kwao.
Huyu dada naona kachanganyikiwa hakuwahi kutegemea yani kwake kuwa mke wa mzungu ni sawa na bahati ya mpiga debe kupewa uwaziri.

halafu wanaishia kuwa watumwa wa mahusiano kwani hawataki waonekane wameachika.
 
uyu dada kinachompinza ni domo lakin kwa sisi tunaojua mambo ya immigration atushangai yeye kubaki.

Inawezekana mme wale ameenda kumfailia ili aende kuwa mkaz wa kudumu.

Afanye mambo yake kimya kimya
 
ndo tatizo la kuongea sana unawapa watu nafasi ya kukufuatilia na kukuongelea pia. Wakati mwingine kukaa kimya kuna tija sana.
 
Nimeanza patwa wasiwasi na watu wanaotumia hili jina la komba Ref: Mbunge ............................
 
Jamani basi sasa muacheni binti wa watu amekomaaa,Hatari na hayo mashambulizi mnaweza kuuwa
 
Back
Top Bottom