Lucy Komba: Nimeishi na mr. Wiki mbili tu

Kweli kwa madada wa kibongo kuolewa na mzungu ni bonge la bahati kwao.
Huyu dada naona kachanganyikiwa hakuwahi kutegemea yani kwake kuwa mke wa mzungu ni sawa na bahati ya mpiga debe kupewa uwaziri.
Huyu dada kwa kwel sasa amezidisha too much khaaaa.... Toka aolewe na hilo shela kama chandarua cha hati punguzo ishakua shida mjini hebu atupishe sie ptuuuu
 
Mmmhhh
Tutakoma mbona!
Tusubiri akiwananaondoka kwenda huko Denmark kumfuata tutapewa habari tu
 

Muongo mkubwa Lucy,hampendi lolote mumewe,kampendea hela tu,eti "nampenda sana mume wangu",huna lolote Lucy angekuwa dereva wa daladala au mpiga debe ungempenda? nyie mnadhani neno 'kupenda' ni rahisi? umefuata uchumi tu hakuna kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…