Lucy Komba: Nimeishi na mr. Wiki mbili tu

Lucy Komba: Nimeishi na mr. Wiki mbili tu

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Akizungumza na Udaku Magazine, Lucy alisema kwa sasa amebaki Bongo peke yake ikiwa ni baada ya mumewe kwenda kwao Denmark ambapo alitakiwa kurudi kazini lakini bado anafanya maandalizi ili amfuate.

"Mume wangu alikaa kwa wiki mbili tu baada ya kufunga ndoa nikamwambia aniache ili nimalizie kufanya maandalizi ya kumfuata huko kwao Denmark ambapo mpaka sasa sijajua nitaenda lini maana bado sijamaliza mambo yangu ila tunaaminiana na tumeshazoea kwani tangu wakati wa uchumba tulikuwa tuko mbalimbali lakini nitaenda.


"Nikienda huko nitakaa kwa miezi mitatu nitarudi hapa Bongo kusalimia na kukaa kama wiki kadhaa, nampenda sana mume wangu na ninammis kwa kweli," alisema Lucy Komba.
 
Kweli kwa madada wa kibongo kuolewa na mzungu ni bonge la bahati kwao.
Huyu dada naona kachanganyikiwa hakuwahi kutegemea yani kwake kuwa mke wa mzungu ni sawa na bahati ya mpiga debe kupewa uwaziri.

Kabisaaaa yaan imekua shidaaaa aisee ameona ni zali wakati ni kawaida tu ,au ndio kiki mjini
 
kweli kabisa imekua keroooo
hatuna raha jamani
yaani nilikua namuona bonge la descent kumbe hamna kitu

Sasa shoga yangu mpaka huna rahaa?? Hhhhhhaaa unanichekeshaa
 
ushamba mwingine shidaaaa.... hujaaulizwa unaongea ..... ubongo nukta unadhani point za kuongea atatoa wapi? ndo uwezo wake wa kufikiri ulipoishia "negative IQ"
 
Inaonekana hakuamini kuolewa na mzungu mbona kelele sana
 
Yasije yakawa ya aunt E mume dubai na Sauda Mwilima mume south kuolewa jina, haya ukienda Denmark tuambie sisi tunahesabu siku.
 
Yani tumejutraa kumfahamu mwaka huu. Ndo maana alizama kwenye maji na galaxy yake hahahahaha

Hhhhaaaa yaan hapo alituvunja mbavu aiseee warumi wangu alicheka balaaaa
Na gauni lake la kipaimara
 
Watu bwana....kwa hiyo kama alifuatwa na gazeti hilo ili azungumzie ndoa yake mlitaka aongee nini? Mbona mnawapangia watu cha kuongea?
 
Back
Top Bottom