Lucy Komba: Nimeishi na mr. Wiki mbili tu

Lucy Komba: Nimeishi na mr. Wiki mbili tu

Afu huyo mzungu kama afya mgogoro jamani vinywele vimenyonyoka sijui yukoje hayanihusu ila najuwa wakuu
 
Hahahaaa turushe roho mamaa...mwanamke ndoaaa.....manung'ayembe wafanye maandamano tuuu, tena wafanye mapema kabla katiba mpya haijapitishwa...!
 
Hahahaaa turushe roho mamaa...mwanamke ndoaaa.....manung'ayembe wafanye maandamano tuuu, tena wafanye mapema kabla katiba mpya haijapitishwa...!

Alaaaa chezea kuwekwa ndani weyeeee,watu wanakesha kwa wagangaaa wanatafuta tu hata wa kuwasogeza kwa hilo hongera zake
Ngoja nimtengee msukuma wangu chakula,
 
Hivi pale mahakamani Luth anafanya kazi gani vile?
 
Alaaaa chezea kuwekwa ndani weyeeee,watu wanakesha kwa wagangaaa wanatafuta tu hata wa kuwasogeza kwa hilo hongera zake
Ngoja nimtengee msukuma wangu chakula,

Hilo ndo la maana...chezea ndoa....!

Halafu age yake ilikuwa ishasogea sogea...muacheni aturushe roho kabla hawajagombana...
 
Aliongea sana huyu dada kabla hajaolewa, eti oooh! Nikishaolewa tu, tunaondoka na mume wangu tunaenda kuishi Denmark, mwezi sasa umepita ameachwa solemba, sasa amebaki oooh! Kuna mambo nakamilisha halafu na mimi naenda, kama alijua ataenda si angeyakamilisha mapema?? Hayo maneno akimshangaa Aunt aliyasema kabla hata hajaolewa.
 
Attachments

  • 1412922712535.jpg
    1412922712535.jpg
    87.4 KB · Views: 339
Back
Top Bottom