Lucy komba this is too much bhana

hahahahhahahaahhaaa khaa wanadamu mna manenno jamani, wanja kama kapakwa na wachawiii.. hahah this made my day.. hahahaaaa duuu
 
Hilo wigi utadhani kabondi vichochoroni manzese midizini mweeh hata kama ni sweden kijijini jamani sio kihivyo anatia aibu
 
Uwiiiiiii warumi umenichekesha eti gauni la kipaimara wanja wa ka kapakwa na wachawi umesahau hizo nywele zake
 
Duh !!! Watu mna maneno eti wanja kama kapakwa na wachawi nimejikuta nacheka tu.
 
😀😀😀😀😀
Kuna post nimeona ya Leila rashid anaomba watu wamfollow jaman hiko kichambo alichokula, nyie watu wamedata sijui n ugumu wa maisha daaah, watanzania nawapenda sana kwenye issue ya kuchambana, aaah kweli mungu hajatunyima vyote, akili hatuna, elimu hatuna hadi kichambo jaman?? Aaah hapana bwana
 
Hehehe nakumbuka walivyozama na boti nilicheka nusu nnife
 
Anaomba wamfollow yeye Leila? Ha ha ha elimu hatuna hata kichambo lol
 
Hebu na wewe weka picha yako, usijekuwa unawasema wengine tu kumbe we ni zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…