Lucy komba this is too much bhana

Lucy komba this is too much bhana

hahahahhahahaahhaaa khaa wanadamu mna manenno jamani, wanja kama kapakwa na wachawiii.. hahah this made my day.. hahahaaaa duuu
 
Mi nilijua lile gauni lako la kipaimara ulilovaa kwenye harusi yako ilikua bahati mbaya kumbe ndo fashion zako, Lucy ni muigizaji mzuri sana na anajiheshimu ila huwa unaniangusha kwenye mavazi tu, ebu jaribu kwenda na wakati bhana, mtu umeolewa nchi za watu na pesa unazo ila unavaa kama mabeki tatu wa mbagala, yani unaniangushaga hapo tu, na sura imepauka kama umemwagiwa debe la unga, nguo unavaa za kishamba utadhani sio staa, badilika bhana tafuta wataalamu wa make up wakupake vzur, huo wanja wako kama ulipakwa na wachawi yani unatisha badilika aiseeh, sina bifu na wewe but unaniangusha sana na mavazi yakoView attachment 401439
Uwiiiiiii warumi umenichekesha eti gauni la kipaimara wanja wa ka kapakwa na wachawi umesahau hizo nywele zake
 
😀😀😀😀😀
Kuna post nimeona ya Leila rashid anaomba watu wamfollow jaman hiko kichambo alichokula, nyie watu wamedata sijui n ugumu wa maisha daaah, watanzania nawapenda sana kwenye issue ya kuchambana, aaah kweli mungu hajatunyima vyote, akili hatuna, elimu hatuna hadi kichambo jaman?? Aaah hapana bwana
 
Hehehe nakumbuka walivyozama na boti nilicheka nusu nnife
 
Kuna post nimeona ya Leila rashid anaomba watu wamfollow jaman hiko kichambo alichokula, nyie watu wamedata sijui n ugumu wa maisha daaah, watanzania nawapenda sana kwenye issue ya kuchambana, aaah kweli mungu hajatunyima vyote, akili hatuna, elimu hatuna hadi kichambo jaman?? Aaah hapana bwana
Anaomba wamfollow yeye Leila? Ha ha ha elimu hatuna hata kichambo lol
 
Mi nilijua lile gauni lako la kipaimara ulilovaa kwenye harusi yako ilikua bahati mbaya kumbe ndo fashion zako, Lucy ni muigizaji mzuri sana na anajiheshimu ila huwa unaniangusha kwenye mavazi tu, ebu jaribu kwenda na wakati bhana, mtu umeolewa nchi za watu na pesa unazo ila unavaa kama mabeki tatu wa mbagala, yani unaniangushaga hapo tu, na sura imepauka kama umemwagiwa debe la unga, nguo unavaa za kishamba utadhani sio staa, badilika bhana tafuta wataalamu wa make up wakupake vzur, huo wanja wako kama ulipakwa na wachawi yani unatisha badilika aiseeh, sina bifu na wewe but unaniangusha sana na mavazi yakoView attachment 401439
Hebu na wewe weka picha yako, usijekuwa unawasema wengine tu kumbe we ni zaidi.
 
Back
Top Bottom