Lucy Mayenga ni ushahidi wa nafasi za Ubunge kwa namna isiyo sahihi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Hawa ndio wabunge ambao hupata nafasi kwa namna ile ambayo siku zote tunaipigia kelele. Ukimsikiliza tu anaongea unajua kichwani hamna kitu isipokuwa ndio basi tena. Aina hii ya wabunge ni wengi sana.

Kuna wakati nilikuwa nadate dada mmoja mkali sana ana shape na mzuri. akaaanza kunambia anataka kuingia kwenye siasa. ameshawishiwa na kuoenakana anafaa. nlimwambia hana akili ya kuingia kwenye siasa isipokuwa mvuto wa kuingizwa huko anaona.

Hakunielewa, miezi kadhaa akaniambia nimchangie some amount awashawishi wajumbe wamchague. Nilimwambia namtakia la kheri mimi na yeye basi. Alilalamiaka sana kuwa nilipaswa nimuunge mkono kwenye harakati hizo

Nilimwambia mimi nilishamuunga mkono na wengine nao wakaunge mikono yao kwake, kisha nikamblock.
 
Lucy Mayenga aliwahi kubadili dini na kuolewa na Mwarabu/Mpemba aliyekuwa Mbunge na Mkuu wa Mkoa wa Tanga enzi za Jah Kaya sijui wapo wote ama walibwagana ? huyu Mayenga na Vicky Kamata wameinuliwa kisiasa kwa kutumia PAPUCHI zao...
Mfumo ukiwa wa vilaza toka juu, majority ya wanufaika wake ni vilaza wa aina hiyo. Ndio maana huwa hawana hoja kabisa, wanatumia tu wingi wao kupingana na wenye hoja wachache kama huyo Lucy Mayenga na wenzake Vs Sigrada na Ado.
 
kwahiyo sasa hivi unachangia wale wanasiasa waropokaji tu majukwaa, wale wa kuombaomba kuchangiwa pesa za matumizi kwenye vibakuli wanapokua na mikutano ya hadhara ya kisiasa, right?

sasa hapo si ni sawa tu ni kama vile umeruka mkojo na kukanyaga mavi gentleman?πŸ’

au hapo we umejiona bonge la clever 🀣
 
Mkuu unamaanisha nn hapa kwamba hutumia bodyholes zao ili wapate kiti? Au unamaanisha nn
 
Kwani kina Kabudi wana mchango gani wa maana kwa taifa hili?
 
Bungeni kuna ngono nje nje.
Ukiona mwanamke ana nyodo kama huyo Lucy, huendi mbali sana kujua nani anampa kibri.
Mtu aliyepigania nafasi yake anamheshimu hata mtu anayetofautiana naye, na kwa hoja zilizoenda shule.
Tupeni picha ya huyo Lucy Mayenga, tunaweza kuwa tumemwona faragha fulani.
 
Ni MTU mjinga anaweza akakakaa na kusikiliza wanasiasa wa Africa hao ni opportunity seekers vision less
 
Tunaita, Tonetone! Mdogo mdogo!
 
Hahaha
 
Wako hivyo wote
nifikishie ujumbe huu Kwa John heche nimemwona zaidi ya mara4 hatilii maanani viongozi tangulizwa kuongea ,hili la makamu mwenyekiti Zanzibar kilwa anaongea yeye katingwa kumlazimisha John mnyika amsikilize kimeniudhi sana .....akome kabisa tabia hiyo na mdomo wake kakazana kumsumbua mnyika na mnyika anataka kuchukua point za anayeonge kabla sana
 
Anamchangia mamako huko ccm ili uendelee kuimba mama mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…