Ludewa yakabiliwa na uhaba wa walimu 400

Acha ubishi,yule mzee wa Ludewa kijijini aliyeamka asubuhi akakuta miguu yake iko pembeni aina damu wala nini,kile ni nini hasa?
Leta ushahidi wewe,huyo Mzee anaitwa/aliitwa nani?, Ilikuwa lini?, Katika Kijiji gani?.Je hbr hii una uhakika nayo?,Ni hbr ya kuona au kusikia?,Km ni ya kusikiae alikwambia nani???.
 
Wilaya na mkoa gani huko? ,ila sishangai kuna sehemu panaitwa kaliua Tabora nmewahi kwenda mwaka 2010 kuna shule ya secondary ilikuwa na waalimu 5 tu hebu fikiria mzigo mzito waliokuwa nao walimu katika hyo shule.
Ruangwa LINDI
 
Elimu bure ni janga la Taifa.
 
Leta ushahidi wewe,huyo Mzee anaitwa/aliitwa nani?, Ilikuwa lini?, Katika Kijiji gani?.Je hbr hii una uhakika nayo?,Ni hbr ya kuona au kusikia?,Km ni ya kusikiae alikwambia nani???.
Ila we jamaa mbishi, mbona hiyo ilisambaa mda mrefu sana
 
Leta ushahidi wewe,huyo Mzee anaitwa/aliitwa nani?, Ilikuwa lini?, Katika Kijiji gani?.Je hbr hii una uhakika nayo?,Ni hbr ya kuona au kusikia?,Km ni ya kusikiae alikwambia nani???.
Bila shaka we we sio mkazi wala hujawai kukaa Ludewa,nenda pale kijijini wilayani muulizie huyo mzee bado yupo nadhani mcheki hapa
 
Hatari
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…