Clementine01
Member
- Jul 5, 2020
- 23
- 26
🚮Hbr hizo ni za kuona au za kuambiwa?.
🚮Hbr hizo ni za kuona au za kuambiwa?.
NjombeLudewa iko Rukwa, Ruvuma au Katavi?
[emoji706]
Walimu si ndio kada kandamizwa na mnawajaza mijini kwenye watu wengi wageuze matokeo kwetu mwanangu anadai walimu 3 wanafundisha kidato cha NNE Kiingereza walimu was sanaa wapoMkuu wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, Andrea Tsere, amesema wilaya hiyo inakabiliwa na tatizo kubwa la upungufu wa walimu zaidi ya 400 na kuiomba Wizara ya Elimu kuangalia namna ya kuwaongezea ili kupandisha kiwango cha ufaulu wilayani humo.
Akizungumza katika kikao cha watumishi wa halmashauri ya Ludewa, Tsere amesema mfumo unaotumika kuajiri walimu sio rafiki kwa maeneo ya pembezoni.
‘’Tunaupungufu mkubwa wa walimu nawalimu wanaajiriwa na TAMISEMI ambayo iko Dodoma na kwa awamu zilizopita waliajiri walimu kwa kutumia kanuni ya idadi ya wanafunzi kwa walimu.
“Kanuni hii sisi huku tunaonewa tunaomba wabadili kanuni kwa shule zilizopo wilaya za pembezoni watumie kanuni ya mikondo kwa walimu, shule moja iwe na walau walimu saba tunaomba hilo,’’amesema Tsere.
Mbunge wa jimbo la Ludewa, Joseph Kamonga, ameahidi kwenda kulitafutia ufumbuzi suala hilo huku akiwataka walimu waliopo kuwa wazalendo kwa kufanya kazi kwa bidii pamoja na kuendelea kushughulikia changamoto zilizopo ndani ya uwezo wao.
‘’Nitakwenda kufuatilia lakini niwaombe walimu kuwa wazalendo tufanye kazi kwa bidii ili tupandishe ufaulu katika wilaya yetu,changamoto tutazitatua kwa pamoja msisite kunishirikisha.
“Wakati umefika sasa watumishi kushirikiana kwa sababu tayari uchaguzi umeisha hivyo tutumie muda uliopo kufanya kazi ili kuongeza mapato ya halmashauri hii,” amesema Kamonga.
Naye Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ludewa, Bakari Mfaume amesema kila mtumishi anapaswa kufanya kazi kwa kutizama Ilani pamoja na kutokutumia nguvu katika kutatua kero za wananchi.
‘’Watumishi achaneni na maswala ya kisiasa kwa sababu uchaguzi umekwisha fanyeni kazi kwa kukubali viongozi walichaguliwa’’amesema Mfaume.
Mawengi,ibihi, long timeLupingu, Ukisi, Manda, Madunda, Luana
Mzee NCHIBARONDA na genge lake Ni zaidi ya kumiNitajie Wachawi kumi unaowafahamu huko Njombe
Hatari sana huko! Kuna moto uliwahi kutokea mwaka kama sio 95 au 96, uliwazingira wakulima fulani waliokuwa wanalima kwa ushirikiano (mgowe kwa lugha ya eneo husika) ukawateketeza wote.Mawengi,ibihi, long time
Hii stori niliikuta 2006 pale Mawengi, nilipofika pale Ludewa niliambiwa kbs ukienda msibani usile mpk ukaribishwe.Nilitoa macho maana huku kwetu usipokula msibani ni balaa.Hatari sana huko! Kuna moto uliwahi kutokea mwaka kama sio 95 au 96, uliwazingira wakulima fulani waliokuwa wanalima kwa ushirikiano (mgowe kwa lugha ya eneo husika) ukawateketeza wote.
Miaka michache badae kama miwili kuna wazee kutoka huko wakaanza kupitia baadhi ya vijiji kukusanya madeni eti kuna baadhi ya watu walikopa mafuta yaliyosababishwa na moto ule na muda wa kulipa umepitiliza.
Kwa kipindi kile hadi majina ya wazee wadaiwa sugu yalijulikana.
Yaani mfumo wa central ajira nadhani una mapungufu makubwa.Mkuu wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, Andrea Tsere, amesema wilaya hiyo inakabiliwa na tatizo kubwa la upungufu wa walimu zaidi ya 400 na kuiomba Wizara ya Elimu kuangalia namna ya kuwaongezea ili kupandisha kiwango cha ufaulu wilayani humo.
Akizungumza katika kikao cha watumishi wa halmashauri ya Ludewa, Tsere amesema mfumo unaotumika kuajiri walimu sio rafiki kwa maeneo ya pembezoni.
‘’Tunaupungufu mkubwa wa walimu nawalimu wanaajiriwa na TAMISEMI ambayo iko Dodoma na kwa awamu zilizopita waliajiri walimu kwa kutumia kanuni ya idadi ya wanafunzi kwa walimu.
“Kanuni hii sisi huku tunaonewa tunaomba wabadili kanuni kwa shule zilizopo wilaya za pembezoni watumie kanuni ya mikondo kwa walimu, shule moja iwe na walau walimu saba tunaomba hilo,’’amesema Tsere.
Mbunge wa jimbo la Ludewa, Joseph Kamonga, ameahidi kwenda kulitafutia ufumbuzi suala hilo huku akiwataka walimu waliopo kuwa wazalendo kwa kufanya kazi kwa bidii pamoja na kuendelea kushughulikia changamoto zilizopo ndani ya uwezo wao.
‘’Nitakwenda kufuatilia lakini niwaombe walimu kuwa wazalendo tufanye kazi kwa bidii ili tupandishe ufaulu katika wilaya yetu,changamoto tutazitatua kwa pamoja msisite kunishirikisha.
“Wakati umefika sasa watumishi kushirikiana kwa sababu tayari uchaguzi umeisha hivyo tutumie muda uliopo kufanya kazi ili kuongeza mapato ya halmashauri hii,” amesema Kamonga.
Naye Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ludewa, Bakari Mfaume amesema kila mtumishi anapaswa kufanya kazi kwa kutizama Ilani pamoja na kutokutumia nguvu katika kutatua kero za wananchi.
‘’Watumishi achaneni na maswala ya kisiasa kwa sababu uchaguzi umekwisha fanyeni kazi kwa kukubali viongozi walichaguliwa’’amesema Mfaume.
Kwa kipindi 2000 huko hadi mwenyekiti alijulikana, yaani unaumwa akipita mwenyekiti unamuuliza mbona nimetumia vidonge siponi vipi? Atakujibu km uligombana na nani mpk ukapewa hiyo homa.Ukaombe msamaha.Ludewa kuna ushirikina sana halafu pamekaa kushoto kweli kweli, iko mpakani
Alikuwa anatokea Kijiji gani??Mzee NCHIBARONDA na genge lake Ni zaidi ya kumi
Ilikuwa ni utani tu.Don't take life so serious.Hii stori niliikuta 2006 pale Mawengi, nilipofika pale Ludewa niliambiwa kbs ukienda msibani usile mpk ukaribishwe.Nilitoa macho maana huku kwetu usipokula msibani ni balaa.
Kesi ya pili kuna jamaa alidaina miti ya mbao akadhinda kesi.Walipikutana kanisani yule aliyeshindwa kesi akampa salam kwa kuumpa mkono yule aliyeshinda akakataa.Basi wazee wakamwamwambia yameisa yale mpe tuu mkono mwenzako. Loih alipompa mkono ulivimba kuanzi begani mpk kidoleni.Jamaa alihangaika km mwezi kasani akawa haonekani, wale wazee waliolazimisha salam kuuliza kijana yuko wapi wakaambiwa abaumwa mbaya nyumbani.Kwenda kumuona akaanza kuwalaumu mmeona sasa mkono hauponi tiba zoote hamna kitu.Walimfata yule aliyeshindwa kesi na kumlazimisha ampomyeshe fasta mwenzie aaahh siku mbili tuu jamaa kapona.
Moto si ajali tu km ajali zingine?Hatari sana huko! Kuna moto uliwahi kutokea mwaka kama sio 95 au 96, uliwazingira wakulima fulani waliokuwa wanalima kwa ushirikiano (mgowe kwa lugha ya eneo husika) ukawateketeza wote.
Miaka michache badae kama miwili kuna wazee kutoka huko wakaanza kupitia baadhi ya vijiji kukusanya madeni eti kuna baadhi ya watu walikopa mafuta yaliyosababishwa na moto ule na muda wa kulipa umepitiliza.
Kwa kipindi kile hadi majina ya wazee wadaiwa sugu yalijulikana.
NCHIBARONDA Ni mzee wa town. Hakai kijijiniAlikuwa anatokea Kijiji gani??
Acha bwana kule Ludewa kijijini kuna stori mooob na zoote za kutisha.Ilikuwa ni utani tu.Don't take life so serious.
Waache kuloga walimu, mahakimu na watumishi wengine wa serikaliMkuu wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, Andrea Tsere, amesema wilaya hiyo inakabiliwa na tatizo kubwa la upungufu wa walimu zaidi ya 400 na kuiomba Wizara ya Elimu kuangalia namna ya kuwaongezea ili kupandisha kiwango cha ufaulu wilayani humo.
Akizungumza katika kikao cha watumishi wa halmashauri ya Ludewa, Tsere amesema mfumo unaotumika kuajiri walimu sio rafiki kwa maeneo ya pembezoni.
‘’Tunaupungufu mkubwa wa walimu nawalimu wanaajiriwa na TAMISEMI ambayo iko Dodoma na kwa awamu zilizopita waliajiri walimu kwa kutumia kanuni ya idadi ya wanafunzi kwa walimu.
“Kanuni hii sisi huku tunaonewa tunaomba wabadili kanuni kwa shule zilizopo wilaya za pembezoni watumie kanuni ya mikondo kwa walimu, shule moja iwe na walau walimu saba tunaomba hilo,’’amesema Tsere.
Mbunge wa jimbo la Ludewa, Joseph Kamonga, ameahidi kwenda kulitafutia ufumbuzi suala hilo huku akiwataka walimu waliopo kuwa wazalendo kwa kufanya kazi kwa bidii pamoja na kuendelea kushughulikia changamoto zilizopo ndani ya uwezo wao.
‘’Nitakwenda kufuatilia lakini niwaombe walimu kuwa wazalendo tufanye kazi kwa bidii ili tupandishe ufaulu katika wilaya yetu,changamoto tutazitatua kwa pamoja msisite kunishirikisha.
“Wakati umefika sasa watumishi kushirikiana kwa sababu tayari uchaguzi umeisha hivyo tutumie muda uliopo kufanya kazi ili kuongeza mapato ya halmashauri hii,” amesema Kamonga.
Naye Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ludewa, Bakari Mfaume amesema kila mtumishi anapaswa kufanya kazi kwa kutizama Ilani pamoja na kutokutumia nguvu katika kutatua kero za wananchi.
‘’Watumishi achaneni na maswala ya kisiasa kwa sababu uchaguzi umekwisha fanyeni kazi kwa kukubali viongozi walichaguliwa’’amesema Mfaume.
Inaonesha wewe jamaa ni muoga Sana hata kwa vitu vidogo.Kwanini uogope vitu visivyo na mbele wala nyuma? tena mambo ya kusimuliwa tu lkn unaogopa balaa!!!,acha hizo.Hujui kwa kuogopa huko unawatisha watu wasije kufanya kazi Ludewa?. Acha Watu waje Sisi Wana Ludewa ni wakarimu sana,ndio sababu watumishi wengi wakija huku huwa hawapendi kuhama.Acha bwana kule Ludewa kijijini kuna stori mooob na zoote za kutisha.
Umewahi kulogwa?. Achana na mambo ya kusimuliwa Mkuu, Ludewa hatupo hivyo.Waache kuloga walimu, mahakimu na watumishi wengine wa serikali