Ludewa yakabiliwa na uhaba wa walimu 400

Ludewa yakabiliwa na uhaba wa walimu 400

Kwa kipindi 2000 huko hadi mwenyekiti alijulikana, yaani unaumwa akipita mwenyekiti unamuuliza mbona nimetumia vidonge siponi vipi? Atakujibu km uligombana na nani mpk ukapewa hiyo homa.Ukaombe msamaha.
We jamaa ni muongo Jamani!!!!,Unatuchafua tu Wana Ludewa.
 
Inaonesha wewe jamaa ni muoga Sana hata kwa vitu vidogo.Kwanini uogope vitu visivyo na mbele wala nyuma? tena mambo ya kusimuliwa tu lkn unaogopa balaa!!!,acha hizo.Hujui kwa kuogopa huko unawatisha watu wasije kufanya kazi Ludewa?. Acha Watu waje Sisi Wana Ludewa ni wakarimu sana,ndio sababu watumishi wengi wakija huku huwa hawapendi kuhama.
Nimeishi huko kabla ya umeme haujaingia hapo. Baki ya stori mengi nimeyashuhudia unataka nini tena. Kule ni washirikina km hutaki shauri yako.
 
Nimeishi huko kabla ya umeme haujaingia hapo. Baki ya stori mengi nimeyashuhudia unataka nini tena. Kule ni washirikina km hutaki shauri yako.
Basi mkuu inatosha Sasa.Usiendelee kutuchafua maana km ni uchawi upo kila sehemu na Watu wema pia wapo kila sehemu,kwa hiyo usiangalie upande mmoja tu wa ubaya, angalia na kwenye wema pia,vipi hakuna mazuri uliyoyaona?, hakuna watu wema uliowaona?.
 
Umenikosea kuniita muongo, wkt nafika hapo basi zilikuwa mbili tuu, faraja na luponde. Ikaja mwafrika uliza mwafrika alikujaje. Stori zipo kibao nikimwagika hapa hatari.
 
Umenikosea kuniita muongo, wkt nafika hapo basi zilikuwa mbili tuu, faraja na luponde. Ikaja mwafrika uliza mwafrika alikujaje. Stori zipo kibao nikimwagika hapa hatari.
Sawa lkn je hakuna mazuri uliyoyaona kwetu?.
 
Walimu mtaani wako bwerere, tena wamesomeshwa kwa mikopo ya serikali lakini wametelekezwa na taaluma zao. Endeleeni kulialia tujenge nchi kwanza.
Serikali ya awamu hii Elimu bora sio kipaumbele chao. Lakini wanadanganya watu na Elimu bure ambayo haina ubora kabisa. Ukiwa sio mwalimu utaona kwamba elimu bure ni wonderful idea lakini ukiwa mwalimu utagundua elimu bure ni moja ya nuclear bomb linalosubiri kulipuka muda wowote. Wanafunzi wanafaulu darasa la saba baadhi hawajui kusoma na kuandika vizuri.
 
Nina ushahidi hasa wa mahakimu kufanyiwa mambo hayo na baadhi kufa kabisa. Hayo yapo Tz yote lakini Ludewa ni mmoja wa vinara
Achana nae inawezekana hajafika huko hata km kwao.Maana wenyewe wakitoka kule hawarudi.
 
Achana nae inawezekana hajafika huko hata km kwao.Maana wenyewe wakitoka kule hawarudi.
Hahahah uko Right kabisa

Mimi Nina vinasaba na huko Kati lakini sijawahi Tia mguu Wala sitotia mguu abadani asilani

Wazazi wangu wenyewe last time kutia mguu huko ni miaka ya 80 huko [emoji1]
 
Huo mji bado mazingira sio sadifu hata ungekuwa wewe Serikali ungeupotezea tu.
Japo naukumbuka kwa mitaa yake , iban, mkondachi,majengo , kilimahewa , mdambanyafu na kwingineko.
 
M
Hahahah uko Right kabisa

Mimi Nina vinasaba na huko Kati lakini sijawahi Tia mguu Wala sitotia mguu abadani asilani

Wazazi wangu wenyewe last time kutia mguu huko ni miaka ya 80 huko [emoji1]
WAHENGA WALINENA; Mkataa kwako ni Mtumwa huko anakoishi, Najivunia nyumbani
 
Attachments

  • Screenshot_20210116-201059_Gallery.jpg
    Screenshot_20210116-201059_Gallery.jpg
    85.3 KB · Views: 15
Kaliua ya sasa sio ya 2010 kuna walimu wengi sana 2015 walimwagwa walimu zaidi ya 10000 hadi huko mpanda mlowoka huko wapo
Wilaya na mkoa gani huko? ,ila sishangai kuna sehemu panaitwa kaliua Tabora nmewahi kwenda mwaka 2010 kuna shule ya secondary ilikuwa na waalimu 5 tu hebu fikiria mzigo mzito waliokuwa nao walimu katika hyo shule.
 
Hatari sana huko! Kuna moto uliwahi kutokea mwaka kama sio 95 au 96, uliwazingira wakulima fulani waliokuwa wanalima kwa ushirikiano (mgowe kwa lugha ya eneo husika) ukawateketeza wote.
Miaka michache badae kama miwili kuna wazee kutoka huko wakaanza kupitia baadhi ya vijiji kukusanya madeni eti kuna baadhi ya watu walikopa mafuta yaliyosababishwa na moto ule na muda wa kulipa umepitiliza.
Kwa kipindi kile hadi majina ya wazee wadaiwa sugu yalijulikana.
Hii story ya kweli kabsa hao watu walikuwa wanavuna mahindi kipindi Cha kiangazi,Kipindi hicho tulikuwa tunaishi Ludewa niko primary school.Nakumbuka tulikuwa atununui mandazi pale sokoni katikatik ya mji wenyeji walikuwa wanasema yamepikiwa na mafuta ya watu walio unguwa na huo Moto.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Upo sahihi kabisa, ilifika kipindi waliokopa walikuwa wanaweweseka kwa ajili ya hayo madeni. Unakuta mtu amepiga magoti anaomba msamaha na kuahidi kwamba atalipa siku fulani, cha ajabu unakuta mtu anayeongea naye haonekani.
 
Back
Top Bottom