Ludisha heshima ya ndo mwanangu hapa

Ludisha heshima ya ndo mwanangu hapa

f6286285a1b5ce8fa5753817c0b793ca.jpg


[emoji115] [emoji115] [emoji115]
Hii vipi mkuu?
Hiyo hakuna kitu mkuu
 
Mwanawane kwenye tikiti nna mm ni shahidi nambali moja,,ukigonga tikiti af ukaenda kumla mtu lazma aombe pooo
 
f6286285a1b5ce8fa5753817c0b793ca.jpg


[emoji115] [emoji115] [emoji115]
Hii vipi mkuu?
Hii kitu hamna kitu ni hewa na utapeli mtupu.

Kuna mama nasikia maeneo ya Buguruni ndio aliipa sifa supu ya pweza kumbe alikua anatia viagra ndani yake.

Alipiga sana pesa za maboya.
 
Hii kitu hamna kitu ni hewa na utapeli mtupu.

Kuna mama nasikia maeneo ya Buguruni ndio aliipa sifa supu ya pweza kumbe alikua anatia viagra ndani yake.

Alipiga sana pesa za maboya.
Dah[emoji50] ! Sikuwa nafahamu hili, leo ndio nimefahamu. Shukrani mdau kwa maelezo.
 
Kwahyo
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana


Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Leo nimeamua nije ya maada ya kufa mtu yaan ya kukata na shoka


Heshima ya mwanaume ni kupiga pu:mbu kweli kweli siyo lege lege tu mwishowe wanawake zetu wanatusalit hovyo hovyo

Twende pamoja mtu wangu usikosee hata kitu kimoja hakika mkeo au demu wako hatatoka tena nje ya ndoa

EBHANA EEE

TUMIA TENDE hapa kwenye tende tumia juis ya tende safi kabisa iliyo sagwa na kuchujwa fresh kwa utundu wa hali ya hatar sana , hii juic ya tende haina mazara mwilin kwa sababu yenyewe ni kitu asili,
Ukitumia juic hii lazima demu akukome mwana wane


TUMIA TIKITI MAJI mwana wane nakwambia hivi hapa kwenye tikiti maji kula had maganda yake pamoja na zile mbegu zake wala usihangaike kusubili zikauke au kusaga. Yaan hapa gonga hivo hivo wewe hakikisha tu tikiti lako umeliosha fresh lile lote tafuna taafuna lote mwana mwane


BADO TUNAENDELEA YAAN LAZIMA LEO LAZIMA TUWEKE HESHIMA YA NDOA

TUMIA KAROT ebhana ee yaan kitu kinachoitwa karot ni nouma mazee tafuna karot japo kilo moja kwa siku lazima demu akubali ukikutana naye ukipenda saga unywe kama juice

.ACHANA NA VUMBI LA KONGO NA VIDONGE MWANANGU hivo vitu vinamaliza nguvu pasipo wewe kujua acha kabisa kutumia hivyo vitu

Kama ushawah kutumia vidonge ukimaliza lazima ngosha huwa anauma hasa misul yake kwahiyo vidonge sio mambo mtu

Tumia sana karot mwanangu hasa kwa wanangu wenye vibamia karot hukuza kile kitu na kuwa kikubwa kama hogo

Ngoja kwa leo niishie hapo tukutane tena siku nyingine

LAZIMA LEO MADEMU WATUKOME MWANAWANE

LONDON BABY
Kwahyo wenye vibamia tutumie carot sio
 
Back
Top Bottom