Ludovick Mwijage: The Dark Side of Nyerere's Legacy

Kosa kubwa la NYERERE Ni kutowatreat waislamu ubwabwa kama SPECIL GROUP na DINI YAKE. Baasi.ILA WATU HAWASEMI TU.
 
Maadui wa Nyerere 1.WAISLAM 2.WAHUJUMU UCHUMI 3.WALIOTAIFISHIWA MALI ZAO. Wanaofikiri nchi ni DAR Pekee.
 

Ulikuwepo wakati wa Nyerere?

Mimi nilikuwepo wakati wa Nyerere na kabla yake.
 
Mwijage kaishia kulalama madhira aliyoyapata wakati wa Nyerere ilhali asitanabahishe yepi yaliyopelekea yeye kuwa adui wa serikali. Hakuna serikali duniani isiyoshughulika na watu wachache kwa maslahi ya wengi. Ili kufanya ulinganifu wanaukumbi mngeanza hoji vifo tatanishi ktk awamu ya nne kama kifo cha Sengondo Mvungi lusungo.
 
Last edited by a moderator:
Watanzania tutaendelea kudanganywa,huyu mpumbavu alikuwa ni recruit wa c.i.a,sasa tunaomba hata wanae watusaidie kuiangusha ccm ya leo,yaani waliangaika na kipendwacho lakini leo wamezba maskio kwa haya mag'ombe ccm
 


Huyo ni zandiki tu hana jipya...
 
Last edited by a moderator:
Ulikuwepo wakati wa Nyerere?

Mimi nilikuwepo wakati wa Nyerere na kabla yake.

Sikuwepo unataka sema nini labda?

Nami nakuuliza habari za mtume Muhammad SAW unazozitetea Leo ulikuwepo wakati wake?
 
nyerere alikua noma ,nasikia hata mkono baada ya kuchoma bank ilibidi akimbie nchi mpaka amekufa ndo akarudi
 
Nyerere was a man with two solid balls. Huyu b.w e.g.e. hata hizo soft balls alizokuwa nazo wajanja wamezing'oa! SAD..
 
Alikua mmoja wa ma dictstor wakubwa afrika.ila alikua mjanja alikoswa seriosly kupinduliwa mara 3 alisoma nyakati za ukuta akaona namba gani marafiki zake wakubwa alokua akiwaabudu wa nchi za mashariki walivo tundikwa mmoja baada ya mwengine alipomuona Causcescu wa romania akitiwa kitanzi hadharani
Akaina ukuta wa berlin ukivunjwa na makmredi wenzake wakikamatwa
Alipimuina Tito akiacha Yugoslavia ikisambaratika
Ikafata poland
Chekoslavakia
Bulgaria
Afghanistan
Na kubwa lao USSR
Ikafata somali na Eithiopia mkimunisti mwenzake Mangistu akikimbia nchi...alijua akingangani ukomonisti wake watanzania watamninginiza ...akangatuka
Leo watanzania wa mrengo wa kanisa walikingia kifua nchi iko hoi bin taaban...msingi wake mbovu kabisa elimu za kikomunisti bado zipo ndo maana tupo hapa...wakenya hatuwafiki
Waganga haooo
Rwanda nao haooo
Sio bado tunatakiwa tuimbe fikra za mwenye kiti mao zidumu !!!!
 
Wapo Watanzania waliokuwa wakifanya vitendo vya kihaini, wakadhibitiwa, leo wanatafuta sympathy ya umma. Aseme kwa nini akifanyiwa yeye hivyo aisfanyiwe Shariff Hamad? Kwa nini afanyiwe yeye asifanyiwe Arcado Ntagazwa?

Hata kwenye maisha ya kawaida, mtu anamsaliti mpenzi wake, akipigwa chini huanza kutafuta sympathy kuwa kaonewa.

Kina Mwijage ni aina ya watu waliovurunda, wakadhibitiwa, wakaona kwa kuwa wanajua kuandika basi ngoja watumie kalamu zao kufafuta huruma.

Ni kweli Mwalimu kama binadamu alikuwa na mapungufu mengi. Katika mapungufu hayo, hakuwa dhaifu kiasi cha kuwaogopa watu waovu kwa taifa kama kina Mwijage.
 

Nashukuru mweshimiwa kwa kumjibu kifasaha kabisa ajiulize tu nj kwanini asilimia ndogo sana ndio inayompinga nyerere kuna nini hapo?
Ninasema nitaendelea kumuheshimu coz misingi aliyoiweka katikataifa hili ni muhimu sana na imefanya iheshimike ulimwenguni kote.
 
Kituko,
Nashindwa kukuelewa unachokubali kipi na kipi unakataa. Kweli sipendi maovu ya Nyerere na sitaki unifanye niamini kuwa hakuwa nayo.

Nyerere kafanya maovu mangapi mpaka ushushe heshima yake? na je ukilinganisha na mambo aliyoyaweka katika utawala wake kwa lengo la kujenga umoja na amani ya nchi hii weka kwenye mizani ndipo upate jibu

Then jua kwamba hata ungekuwa wewe ndie rahisi lazima ungekuwa na maadui wengi tuu na ili utimize yale mawazo mema uliyokuwa nayo lazima kuna watu wataumia tuu.

Si vibaya kumuondoa adui mmoja na kuokoa maisha ya watu zaidi ya milion.
 

Ukweli utabaki Palepale.

Nyerere si Malaika, ni Binaadamu. Binaadamu wana mazuri na mabaya.

Kama ulisikia mazuri yake basi huna budi kusikia mabaya pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…