Ludovick Mwijage: The Dark Side of Nyerere's Legacy

Ridhiwani ana lori 200 za tela,(gharama ya zile lori nimeelezwa na mtu mmoja mwema ni $$150,000 kila lori moja)Ridhiwani ndiyo mmiliki wa dry dock,bandari kavu., Hebu twende pole pole. What is it that you are complaing about? Kumbuka bado zipo Mali za First Lady,au sasa tunaweza kumwita former first lady.kuna mali za Kikwete. Kuna Maliza joint ownership za Salma na Kikwete. It will be tedious sasa kuongea huu ya Mwinyi na Mkapa. Hii posting unaiweka hapa kuwasaidia Ukawa,wamekuomba uiweke? Wamekusihi uiweke?
 
Nyerere mtu safi..makini..uwezi mfananisha na huyu bogus anyemaliza kipind chake
 
Funguka kaka maana hata mitume tumeona walipata upinzani kwa kuwa walikuja kama watu sembuse. Kambarage kila siku anasifiwa hakuna anayeongea baya lolote la kambarage sasa kawa maraika?
 
umeongea vema, yawezekana kuliko wachangiaji wote humu
 
bhana eeeeh.....!!! keshakufa huyo hebu muacheni huko alipo apate anayoyastahili, lakini msisahau kuwa aliongoza nchi kwa amani na utulivu kwa miaka 25 yaani ni kama nusu ya muda wa Tanzania ( cjui Tanganyika....!!!???) ,kwa maana nyingine ni kwamba nusu ya umasikini wa Tanzania ya leo umechangiwa na huyu bwana mkubwa, na mwenye kusoma na asome
 
I salute Mwalimu Nyerere....I salute his commitment towards the development of peaceful Tanzania....May The Almighty God give his soul eternal peace. Acha watu wapige sound tuuu
 
Hio ndio wakati PIA Mzee NGAIZA akikuwa MATATANI??? Yeah ilisemekana walishikwa kwa kutaka kuivuruga serikali lakini waliachiwa... Sasa KENYA -waliotaka kuipindua serikali ya KENYA kama Robert AUKO waliishia wapi???
Robert Ouko hajawahi kutaka kuipindua serikali
 
Nchi aliikuta ina UMOJA. Ingelikuwa haina umoja na ni yenye ukabila wale wazee waliomfuata shuleni ili aache kazi na kujiunga nao wasingelimfuata. Tazama kama walikuwa na ukabila au udini kisha uje na hiyo propaganda nzee.

Yapo mema yake lakini sio hayo ya umoja sijui na nini... Hii nchi watu hawakuwa na matabaka au kuendekeza ukabila toka awali ndio maana Tanga kuna kina Masanja na Maganga kabla hata ya vita ya pili ya dunia.
 
Bibi titi, Tuntemeke Sanga, Kasaga Tumbo walielewa yote hayo na bado tunasonga mbele. Mzee Kambona kama siyo yeye Nyerere sijui angeishia wapi wakati wa mvurugano wa wanajeshi? Zawadi yake tuliiona. Maisha yanaendelea.
 
Hio ndio wakati PIA Mzee NGAIZA akikuwa MATATANI??? Yeah ilisemekana walishikwa kwa kutaka kuivuruga serikali lakini waliachiwa... Sasa KENYA -waliotaka kuipindua serikali ya KENYA kama Robert AUKO waliishia wapi???
Mtu anapimwa kwa kuangalia uzito wa mazuri na mabaya na namna ambavyo anatreat majority hakuna kiongozi duniani ambaye hafanyi maonevu kwa kundi fulani la watu. Likewise kwa JKN
 
Pili huyu bwana na kikundi chake inaonekana ni kikundi cha ukabila (HAYA TRIBE) na kwa asilimia kubwa kina ushirikiano mkubwa na nchi ya jirani Uganda kutokana na maelezo ya huyo bwana
Kituko, tafadhali fafanua hoja yako hapa; Mwijage alikuwa na akina nani wengine kwenye hilo 'kundi' lake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…