Ludwig erhard: Nchi haiwezi kuendelea ikiwa uongozi upo mikononi mwa wachache

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
Aliyekua Waziri wa uchumi wa Ujerumani na baadae Counsellor ambae alifufua uchumi wa Ujerumani baada ya kuharibiwa na vita ya Hitler alindika kitabu chake kinachojulikana kama "Prosperity through competition."

Na katika hiki kitabu ameongea mengi ila kikubwa anasema the nation cannot progress when its leadership is concentrated in the hands of a few akiwa na maana ya kwamba nchi haiwezi kuendelea ikiwa uongozi upo mikono mwa wachache.

Ndugu watanzania hatupiganii reforms kuiweka Chama Cha Mapinduzi madarakani au Lissu awe Rais tunataka mabadiliko ili nchi irudi katika mikono ya wananchi na sio kumilikiwa na wachache kama shamba la ukoo.

Tunataka mfumo huru wa uchaguzi tuchague viongozi tunaowataka na sio anaondoka Samuel Sitta anakaa Benjamin Sitta anaondoka Kikwete anakaa Ridhiwan au tunapelekewa Baba Levo, Mwijaku na Mkojani bungeni mtu ata mihimili ya serikali hajui ni nini muswada this its totally nonsense.

Asanteni wenu mpendwa CEO wa the Zanzibar echo
 
JPM ALIKUWA KIONGOZI MZURI SANA LAKINI MKASHIRIKIANA NA MABEBERU NA WAFANYABIASHARA NA MAADUI WAKE KWNYE CHAMA KU MSTRESS NDO MAANA AKAFARIKI MAPEMA.NGOJERA ZENU SIDHANI KAMA KUNA MTU KAMA MIMI ANAWEZA KUWASIKILIZA .

MLISEMA KUWA BWAWA LA NYERERE LIKIJENGWA TUTAPATA SHIDA YA UKAME. KIKO WAPI.SHENZ KABISA
 
Kila kitu kina mwisho Mkuu, na mwisho huwa mzuri pale matendo yanapokuwa mazuru na kinyume chake!
 
Back
Top Bottom