Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

Kiswahili ni lugha inayo jitegemea ingawa imetohoa baadhi ya maneno kutoka kwenye lugha nyingine
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu


Watalamu wa lugha wamekutana na kutoa tasimin ya lugha kubwa na ndogo zinazozungumuzwa zaid afrika, wamedai kingeleza kinaendelea kuchukua nafas kubwa sana pia wamedai watu hujiona wajanja wanapozungumza kingeleza


1 KINGELEZA zaid ya watu milion mia moja wanazungumza kingeleza africa

2 KIARABU

3 KISWAHILI

4 KISUKUMA zaid ya watu milion 20 wanazungumuza kisukuma na penye watu kumi tanzania kuna wasukuma watatu

5 kifaransa

6 kichewa

7 kizuru



LONDON BABY
 
1. Arabic
2. Kiswahili
3.....
 
Hapana wanadai kingeleza kinazingumzwa sana mkuu
hapana maana... kiingereza ni lugha inayozungumzwa sehemu nyingi Afrika ila sio lugha inayozungumzwa na watu wengi.

haukwepi kusema kichina ndiyo lugha inayozungumzwa na watu wengi Duniani.

Chukulia
commoro 80%
Mauritania 88%
Egypt 93%
Libya
Algeria
Chad
Tunisia 90%
Somalia

mataifa yote hayo yanazungumza Arabic..tena wanazidi million 100 uliyoitaja.
 
Ni sahihi.
 
Wewe uliyeleta hii habari naona hata lugha yenyewe ni shida kwako.
Kizuru = Kizulu
Kingeleza = Kingereza
 
Ungeweka picha ingekuwa bora zaidi. Lakini nina wasiwasi na ubinafsi wako kwa luga ya kisukuma!!!
 
Ohoo bas itakuwa walikosea inabidi tuwasamehe
 
you compare poorly. angalia hizo nchi zina watu wangapi ukilinganisha na nigeria na south africa mathalani. komoro, libya, mauritania zina watu wangapi. somalia hawazungumzi kiarabu, tunisia wengi huzungumza kifaransa, chad kuna wengi hawajui kiarabu wanapiga kifaransa. wakomoro wanazungumza kikomoro ambacho ni lahaja ya kiswahili
 
bado mzee.
kwanza south wapo tkariban million 55 asilimia 9% tu ndiyo wanazungumza kirengeza.

Huko huko Nigeria kuna dialect ya Kiarabu pia.

sijui kama unajua Tunisia Arabic ndiyo official language na wengi wanakizungumza. Somalia nayo vilevile Arabic ni second official language na 30% wanazungumza Arabic.

Egypt inaimeza namba ya Mnaija maana na yenyewe ni Nchi yenye population kubwa Africa na bado wengi wanazungumza Arabic.

English inazungumzwa sehemu nyingi Africa ila sio na watu wengi. Chukulia mfano Tanzania hivi wangapi wanazungumza English?? Licha ya ukienda kila kata angalau utakutana na mtu anajua kuzungumza English.
 
Na kweli tungeelewana!
 
Natamani ningekuwepo niwe muanzilishi wa kiswahili enzi hizo
Just imagine !! Siku za mwanzo walipofika MaBABA yaani Masheikhs wa KIARABU pale pwani.., mwmbao wa Afrika mashariki... Sasa akina mzee JONGO,MKUDE,KOMBO nk nk walianzaje mawasiliano ?
Wakati huo makabila ya kiafrika kila mmoja ana lahaja yake na lafudhi mbali mbali za kanda mchanganyiko na mkanganyiko ......!!!
Lakini walipo wasogelea WAARABU ndipo wakawekewa kitaako na kutulizwa kwa kufundishwa lugha hii moja adhimu !!

hadi hii leo huwezi kuongea Kiswahili fasaha au sentesnsi kamili bila kutamka neon la KIARABU!! "bisha?
Fadhila itazingatiwa na itifaki iaheshimiwa..!!
@fibs,@dagii,mwayungi karibuni tujenge Kiswahili Afrikani kote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…