Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

Just imagine !! Siku za mwanzo walipofika MaBABA yaani Masheikhs wa KIARABU pale pwani.., mwmbao wa Afrika mashariki... Sasa akina mzee JONGO,MKUDE,KOMBO nk nk walianzaje mawasiliano ?
Wakati huo makabila ya kiafrika kila mmoja ana lahaja yake na lafudhi mbali mbali za kanda mchanganyiko na mkanganyiko ......!!!
Lakini walipo wasogelea WAARABU ndipo wakawekewa kitaako na kutulizwa kwa kufundishwa lugha hii moja adhimu !!

hadi hii leo huwezi kuongea Kiswahili fasaha au sentesnsi kamili bila kutamka neon la KIARABU!! "bisha?
Fadhila itazingatiwa na itifaki iaheshimiwa..!!
@fibs,@dagii,mwayungi karibuni tujenge Kiswahili Afrikani kote
Unaposema tueneke kiswahili africa nikwambie tu ukweli unajidanganya sema tu kienee apa apa east africa uwez mpelekea mzulu hii lugha akapokea tu kirahic au uyu mozambique aache kireno apokee kiswahili ni ngumu,tutabaki nacho tu kwa kuwa ndicho kilicho ingilika na kiarabu kikatokea hiki bac na akina uasili kama lugha nyingine ni chotara ukumbuke.
 
Haimaanishi Wanigeria wote wanazungumza kiingereza.

na hata hao wanaokizungumza Kiingereza, unakuta sio lugha mama yao, ni cha kuunga unga na kusoma darasani lakini wana vikabila vyao ambavyo wanavionea aibu kujinasibu navyo. Kwa
 
Kweli Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.

Kwa mfano majina ya namba karibia yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.

Pia,

Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, Taftari, karatasi, mijadala, lugha, kanuni, sheria, mahakama, hakimu, Swahili, wizara, waziri, diwani, wilaya, naibu, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu (naweza kuandika list ndefu ya maneno kama haya mpaka mtachoka kuyasoma).

Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.

Mkuu hapo umekata funua kabxaa[emoji1321]
 
Back
Top Bottom