Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
Unaota ww kiswahili c mnaongea na majiraz zenu tu nenda nchi za watu kama utakuta hii lugha kila mtu na chake awez fata chako.Mimi nilisema ipo siku Kiswahili itakua lugha ya Africa
Sasa tayari bado kuwa lugha ya Dunia
Unaposema tueneke kiswahili africa nikwambie tu ukweli unajidanganya sema tu kienee apa apa east africa uwez mpelekea mzulu hii lugha akapokea tu kirahic au uyu mozambique aache kireno apokee kiswahili ni ngumu,tutabaki nacho tu kwa kuwa ndicho kilicho ingilika na kiarabu kikatokea hiki bac na akina uasili kama lugha nyingine ni chotara ukumbuke.Just imagine !! Siku za mwanzo walipofika MaBABA yaani Masheikhs wa KIARABU pale pwani.., mwmbao wa Afrika mashariki... Sasa akina mzee JONGO,MKUDE,KOMBO nk nk walianzaje mawasiliano ?
Wakati huo makabila ya kiafrika kila mmoja ana lahaja yake na lafudhi mbali mbali za kanda mchanganyiko na mkanganyiko ......!!!
Lakini walipo wasogelea WAARABU ndipo wakawekewa kitaako na kutulizwa kwa kufundishwa lugha hii moja adhimu !!
hadi hii leo huwezi kuongea Kiswahili fasaha au sentesnsi kamili bila kutamka neon la KIARABU!! "bisha?
Fadhila itazingatiwa na itifaki iaheshimiwa..!!
@fibs,@dagii,mwayungi karibuni tujenge Kiswahili Afrikani kote
Haimaanishi Wanigeria wote wanazungumza kiingereza.
Kweli Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.
Kwa mfano majina ya namba karibia yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.
Pia,
Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, Taftari, karatasi, mijadala, lugha, kanuni, sheria, mahakama, hakimu, Swahili, wizara, waziri, diwani, wilaya, naibu, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu (naweza kuandika list ndefu ya maneno kama haya mpaka mtachoka kuyasoma).
Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.
Kiswahili kumbe ni lugha ya asili mimi nilijua ni kitoka njehapo ina maana kwamba ktk lugha za asili kiswahili namba moja. ukiachana na lugha za mkoloni