Lugha asili, Makabila, Mila na Utamaduni wa Mtanzania vinafutika kwa kasi sana

Lugha asili, Makabila, Mila na Utamaduni wa Mtanzania vinafutika kwa kasi sana

Hujasoma niliko anzia kwanza mimi hata hiyo misikiti sijawahi kugusa hata mlango, sasa nalumbana nini, unajua niliyeanza kum quote ilikuwa katoriki na nikamjibu hivyo sasa hao waliokuja na uslamu siwaelewi kabisa, sikujui wala siwajui na huo muda wakujua ni dini gani nautoa wapi mimi jamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hata dini za watu hapa huzijui. Sasa mbona unaukashifu Uislam? Maana umeanza kuukashifu Uislam na Waislam wakati ukiijibu comment ya huyo Keita. Tatizo nini? Mara Maustadh mara sijui kuoa kitoto. Sio kila anayekashifu Unachokiamini na akakitukana ni Muislam.

Ni hayo tu.
 
India kuna utandawazi, mbona wameweza dumisha mila na tamaduni zao?
India huwezi sikia msondo Wala twanga pepeta, Wala kuona bongo movie. Ila hapa picha nyimbo za kihindi tunazitukuza zaidi ya wahindi wenyewe, unategemea Kuna tamaduni zetu zitatunzwa na Nani?
 
Kuna haja ya makanisa kutenga ibada zinazoongozwa kwa lugha asilia. Mbona makanisa mengi yana ibada ya Kiingereza?
Sasa kanisa Lina watu 200 na makabila Tanzania yapo 120 labda hapo kila kabila hawazidi 10 maana makabila yapo kimkoa ila mjini ni mchanganyiko. Sasa makabila wengine itakuwaje?
 
Sasa kanisa Lina watu 200 na makabila Tanzania yapo 120 labda hapo kila kabila hawazidi 10 maana makabila yapo kimkoa ila mjini ni mchanganyiko. Sasa makabila wengine itakuwaje?
Kanisa lina watu 200 mbona wachache sana hapo nikanisa jipya ibada moja watu elf 2000 kabila mbali mbali , hatuwezi kufika hayo yanawezekana Rwanda na Burundi na ndiyo maana kutwa kudundana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom