ryan riz
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 423
- 683
- Thread starter
- #21
Kitanzania neno samahani,tafadhali lazma litumike baada ya salamu hata kwa watu wakorofi husema hvyo ni km liko automatic mdomoni..ila unaemwambia hivyo akipiga kimya na kuendelea na inshu zake hata ukirudia mara mbili mbili...utajisikiaje?Usipojua matumizi ya tafadhali, samahani, boss, mkuu, kaka, dada, mama, mwananchi, au mwanasimba, nk, wewe unapandisha kibesi utaona stress za hao watumishi wanamalizia kwako.
Unakuta limtu hata halijakusalimia linauliza, nimemkuta mkuu, nalijibu tu kamtafute.
Pili wapo wale watakaoitikia lakin upande wa huduma utapigwa chenga weee,mpaka utoe kitu kidogo ndio utapata huduma kwa haraka..