Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
<br />Ugomvi kwa wanandoa ni kawaida. Lkn hii tabia ya kurushiana maneno machafu tena mbele za watu sijui inatokana na nini. Hata mim nlishawah kushuhudia mke akimwambia mume wake tena kwa sauti ya juu "wewe ni malaya hapa mtaani nani asiyekujua? Ndio maana wanasema umeathirika , una ukimwi wewe!!"
<br />
mmmh! Hasara ilioje? Embu pata picha sasa maneno kama haya mnayaongea na watoto wanasikia achilia mbali majirani ambao watawasindikiza kwa vicheko vya dharau ikimaanisha nyinyi nyote mnajidhalilisha. Laiti kama mmoja angejishusha na ugomvi ukaishia chumbani wala hakuna ambae angesikia.