Lugha katika picha; Usinene ukamala

Lugha katika picha; Usinene ukamala

Kila mtu huwa na Imani fulani kwenye haya maisha,lakini usiweke Imani kubwa kwenye battle ,yaani sehemu ambayo watu wawili ama watatu wanagombea.

Leo timu kubwa yenye mafanikio,mvuto na ya maana Duniani Real Madrid inacheza leo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ulaya.

Ikiwa imemzidi mpinzani wake Salzburg vitu vingi,rate ya mchezaji mmoja mmoja,na haya umaarufu.
Lakini bado hakuna anayekuwa na Imani ya kiasi kikubwa kuweka milioni 1 eti Madrid ashinde.

Lazima kuwe na akiba ya ubongo na maneno pia,hii kitu imemshinda Yeriko Nyerere,anadhani watanzania be wamelala,anadhani ukieneza propaganda unaweza kumshawishi mtu mwenye akili timamu

hata wajumbe walio wengi wamesoma ni nani anatakiwa na wananchi mwisho wa siku box limeamua.

Hongera TUNDU LISSU
Hongera FREEMAN MBOWE
Hongera CHADEMA.

Mmeonesha Demokrasia ya kweli,

Ila mwanakwetu Yeriko Nyerere punguza mdomo.
Umeshindwa kusoma alama za nyakati , umeshindwa kutumia ujasusi wako vizuri mdogo wangu.

Swela hela be myetu.

Pichani ni Yeriko Nyerere akiwa haelewi anavuta Oxygen au Carbon dioxide.
Hapo iko hivi,'duh sasa ndio itakuwaje tena'...!
 
Tumemnyoosha na leaser beam🤣
 
Jasusi nguli , mbobevu kaenda adi Moscow na Ukraine kufanya research kaandika adi kitabu sjapenda mtunzieni heshima yake james bond wetu,
Hatimaye hii ndiyo comment iliyompa utetezi Yeriko 🤣🤣
 
Mimi naomba waminywe kidogo wawe na adabu. Kama Gusa Achia baki nyumbani 😅😅😅😅😅😅
 
Kila mtu huwa na Imani fulani kwenye haya maisha,lakini usiweke Imani kubwa kwenye battle ,yaani sehemu ambayo watu wawili ama watatu wanagombea.

Leo timu kubwa yenye mafanikio,mvuto na ya maana Duniani Real Madrid inacheza leo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ulaya.

Ikiwa imemzidi mpinzani wake Salzburg vitu vingi,rate ya mchezaji mmoja mmoja,na haya umaarufu.
Lakini bado hakuna anayekuwa na Imani ya kiasi kikubwa kuweka milioni 1 eti Madrid ashinde.

Lazima kuwe na akiba ya ubongo na maneno pia,hii kitu imemshinda Yeriko Nyerere,anadhani watanzania be wamelala,anadhani ukieneza propaganda unaweza kumshawishi mtu mwenye akili timamu

hata wajumbe walio wengi wamesoma ni nani anatakiwa na wananchi mwisho wa siku box limeamua.

Hongera TUNDU LISSU
Hongera FREEMAN MBOWE
Hongera CHADEMA.

Mmeonesha Demokrasia ya kweli,

Ila mwanakwetu Yeriko Nyerere punguza mdomo.
Umeshindwa kusoma alama za nyakati , umeshindwa kutumia ujasusi wako vizuri mdogo wangu.

Swela hela be myetu.

Pichani ni Yeriko Nyerere akiwa haelewi anavuta Oxygen au Carbon dioxide.
Jasusi mwitu Yericko Nyerere kashamjaza FAM akavuta mizigo now anachekelea moyoni! FAM alishindwa kusoma alama za nyakati na akaingia kwenye mtego wa waganga njaa (Jasusi mwitu na wenzie) waliokuwa wanafukuzia visenti vya mwenyekiti mstaafu.
 
Back
Top Bottom