Lugha wanazotumia wanawake kupiga mizinga zinafanana

Kuna kitu nimekigundua siku za hivi karibuni, na naona kinafanana na wadada wengi, hata baadhi ya marafiki zangu nao wameanza kukumbana nacho.

Inaonekana mahusiano ya kimapenzi imekuwa mojawapo ya chanzo cha mapato kwa wadada wengi, au kwa maneno mengine wewe mwanaume umekuwa chanzo cha mapato kwa mdada au wadada unaofahamiana nao na kutoka nao.
Kuna kitu nataka kukuambia utasikia Ninaomba hela ya kusuka, naomba uniongezee mtaji wangu, mama anaumwa , ninaumwa
 
Kuna kitu nimekigundua siku za hivi karibuni, na naona kinafanana na wadada wengi, hata baadhi ya marafiki zangu nao wameanza kukumbana nacho.

Inaonekana mahusiano ya kimapenzi imekuwa mojawapo ya chanzo cha mapato kwa wadada wengi, au kwa maneno mengine wewe mwanaume
Utasikia wanaanza na, "my nikwambie kt" mm nikisha onaga hiyo sms tu, fasta naingia mitini
 
Kuna kitu nimekigundua siku za hivi karibuni, na naona kinafanana na wadada wengi, hata baadhi ya marafiki zangu nao wameanza kukumbana nacho.

Inaonekana mahusiano ya kimapenzi imekuwa mojawapo ya chanzo cha mapato kwa wadada wengi, au kwa maneno mengine wewe mwanaume umekuwa chanzo cha mapato kwa mdada au wadada unaofahamiana nao na kutoka nao.

Unapochukua namba ya simu ya dada na kutoka naye kwa kinywaji au mlo wa mchana au wa jioni, inategemea jinsi alivyo na anavyojiweka lakini kifuatacho ni mzinga.

1) Kioo cha simu yangu kimepasuka au simu yangu imeharibika, sijui nafanyaje?

2) Nimefiwa na babu yangu mkoani, yaani hapa hata sijielewi

3) Kodi yangu ya nyumba imeisha, sijui unanisaidiaje?

4) Naumwa, nimeenda hospitali na nimeshamwona daktari, nimeishiwa hela ya dawa.

5) Kesho ni birthday yangu, hata sijui nafanyaje.

Kama yamekufika na wewe, ongezea yako hapa.
Umeshau ya kuishiwa mtungi wa gesi.

Hili ni tatizo sugu kwa wadada wengi sana..

Tena gesi mtungi mkubwa.
 
Kuna kitu nimekigundua siku za hivi karibuni, na naona kinafanana na wadada wengi, hata baadhi ya marafiki zangu nao wameanza kukumbana nacho.

Inaonekana mahusiano ya kimapenzi imekuwa mojawapo ya chanzo cha mapato kwa wadada wengi, au kwa maneno mengine wewe mwanaume umekuwa chanzo cha mapato kwa mdada au wadada unaofahamiana nao na kutoka nao.

Unapochukua namba ya simu ya dada na kutoka naye kwa kinywaji au mlo wa mchana au wa jioni, inategemea jinsi alivyo na anavyojiweka lakini kifuatacho ni mzinga.

1) Kioo cha simu yangu kimepasuka au simu yangu imeharibika, sijui nafanyaje?

2) Nimefiwa na babu yangu mkoani, yaani hapa hata sijielewi

3) Kodi yangu ya nyumba imeisha, sijui unanisaidiaje?

4) Naumwa, nimeenda hospitali na nimeshamwona daktari, nimeishiwa hela ya dawa.

5) Kesho ni birthday yangu, hata sijui nafanyaje.

Kama yamekufika na wewe, ongezea yako hapa.
Nataka kusuka, ila sijielewi.

Macho yananiuma lensi ya iwani sijui imechoka?

Rafiki yangiu amefiwa kwenye group kuna mchango wa darasa.

Leo nina hamu ya pizza take away
 
Dawa ni kuchukua vicheche tu,unakipasua unampa chake biashara imeisha,shida inaanza ukitaka kuweka kambi.
 
Back
Top Bottom