GYNEOCOLOGIST
Senior Member
- Sep 13, 2016
- 171
- 110
mmmmhhhhh! Mungu hapendi hivyo, hata kama kuna uliyekosana naye basi samehe 7 x 70. treat people as individual usiunganishe woteWahaya siwapendi aiseee
Kama trampu asivyowapenda waafrika! Usiipatie chuki ya aina yoyote makazi myoni mwako.Wahaya siwapendi aiseee
Kwani wenyewe wanakupenda?Wahaya siwapendi aiseee
We ndo unawalisha?Wahaya siwapendi aiseee
Kanywe sumuWahaya siwapendi aiseee
pole dada, na wenyewe wana watu wao, wanawapendaWahaya siwapendi aiseee
Uko wapi: Olinkaa
Ulikuwa wapi:waba olinkaa
Karibu chakula: Nyegera tulye
Karibu chai: Nyegera akai
Naomba maji ya kunywa:Ninshaba amaizi ago kunywa
Naomba chakula : Nishaba ekyakulya
Japo Kiwanishindaga kuandika uto tutakusaidia mkuu
Wakora kusiimaAhsantee Mkuu, naomba nyongeza ya maneno mengine
Asante kwa kihaya inatamkwajeWakora kusiima
Wakola waituUko wapi: Olinkaa
Ulikuwa wapi:waba olinkaa
Karibu chakula: Nyegera tulye
Karibu chai: Nyegera akai
Naomba maji ya kunywa:Ninshaba amaizi ago kunywa
Naomba chakula : Nishaba ekyakulya
Japo Kiwanishindaga kuandika uto tutakusaidia mkuu
Wahaya siwapendi aiseee
usigeneralize mkuuWahaya siwapendi aiseee
Wakuu tusaidiane ili kujua lugha zetu coz sote ni watanzania, naomba kujua lugha ya kihaya, kwa kuanzia naomba kujua maana ya maneno yaafuatayo kwa kihaya:
Habari za asubuhi
Habari za leo
habari za mchana
Habari za usiku
Habari za nyumbani
Habari za kazi
salama
nzuri
Karibu kwetu
Karibu nyumbani
umetoka wapi?
ulikuwa wapi?
yuko wapi?
wako wapi?
Karibu chakula
karibu chai
Naomba maji ya kunywa
Naomba chakula
Najihisi njaa/naskia njaa
tutaendelea naomba tuanza na hayo
enseneneSenene kwa kihaya wanaitwaje wakuu?