Lugha ya kihaya

Lugha ya kihaya

GYNEOCOLOGIST

Senior Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
171
Reaction score
110
Wakuu tusaidiane ili kujua lugha zetu coz sote ni watanzania, naomba kujua lugha ya kihaya, kwa kuanzia naomba kujua maana ya maneno yaafuatayo kwa kihaya:

Habari za asubuhi
Habari za leo
habari za mchana
Habari za usiku
Habari za nyumbani
Habari za kazi

salama
nzuri

Karibu kwetu
Karibu nyumbani

umetoka wapi?
ulikuwa wapi?

yuko wapi?
wako wapi?

Karibu chakula
karibu chai

Naomba maji ya kunywa
Naomba chakula

Najihisi njaa/naskia njaa

tutaendelea naomba tuanza na hayo
 
Sasa kama umepata mwenzako Muhaya si umuombe tu akufundishe mkiwa faragha kuliko kuhangaika huku JF hahahahah
 
Uko wapi: Olinkaa
Ulikuwa wapi:waba olinkaa
Karibu chakula: Nyegera tulye

Karibu chai: Nyegera akai

Naomba maji ya kunywa:Ninshaba amaizi ago kunywa

Naomba chakula : Nishaba ekyakulya

Japo Kiwanishindaga kuandika uto tutakusaidia mkuu
 
Ahsantee Mkuu, naomba nyongeza ya maneno mengine
 
Uko wapi: Olinkaa
Ulikuwa wapi:waba olinkaa
Karibu chakula: Nyegera tulye

Karibu chai: Nyegera akai

Naomba maji ya kunywa:Ninshaba amaizi ago kunywa

Naomba chakula : Nishaba ekyakulya

Japo Kiwanishindaga kuandika uto tutakusaidia mkuu
Wakola waitu
 
Mkuu... hii kitu mm naunga mkono
Mm pia nataka kujifunza

Back
Top Bottom