hilo bandiko ni la karne ipi mbona uko nyuma hivi??? sasa hebu nionyeshe hizo treni mulizoletewa tuzione hapa sasa.Ona mkenya mwenzako alivyoandika kitu cha maana,
Wewe endelea kuandika ujinga na unajua uchumi wenu unaenda wapi pamoja na mnachofanyiwa na wachina.
sawa LDCHao mid income wa kimungiki wamezidi aisee,usa wamefanya kitu cha maana sana kwa kuwapa msaada kile chakula cha nguruwe,si kwa hoe hae hiyo aisee!halafu hapo ndio nairobbery huko turkana mid income sijui wako kwenye hali gani π€£
Kuna wenzetu nchi fulani yamewakuta πππ treni zao zinatumia diesel tu.hilo bandiko ni la karne ipi mbona uko nyuma hivi??? sasa hebu nionyeshe hizo treni mulizoletewa tuzione hapa sasa.
you understand what 'Sarcasm' means?Kuna wenzetu nchi fulani yamewakuta πππ treni zao zinatumia diesel tu.
Ina sound good lakini namna serikali ya jubilee wakishirikiana na wachina inavyo wa KEJELI wakenya ni balaa.you understand what 'Sarcasm' means?
sawasawa LDC!!!Ina sound good lakini namna serikali ya jubilee wakishirikiana na wachina inavyo wa KEJELI wakenya ni balaa.
Sawa mid income wa kiberasawa LDC
Sawasawa mido inikamu kantrii ya kwenye makaratasi.sawasawa LDC!!!
Haha π€£, unauwa mkuu.Hao mid income wa kimungiki wamezidi aisee,usa wamefanya kitu cha maana sana kwa kuwapa msaada kile chakula cha nguruwe,si kwa hoe hae hiyo aisee!halafu hapo ndio nairobbery huko turkana mid income sijui wako kwenye hali gani π€£
Umepata mgao wako wa condomHao mid income wa kimungiki wamezidi aisee,usa wamefanya kitu cha maana sana kwa kuwapa msaada kile chakula cha nguruwe,si kwa hoe hae hiyo aisee!halafu hapo ndio nairobbery huko turkana mid income sijui wako kwenye hali gani [emoji1787]
Hzo treni ziko wapi, au ndio zimehifadhiwa youtube na twitterKuna wenzetu nchi fulani yamewakuta [emoji23][emoji23][emoji23] treni zao zinatumia diesel tu.
Umeuwa kabisa, halafu jamaa wanapigwa hatari...eti kule kwao kuna course za english(3months) baada ya hapo wanakuhakikishia utakua vizuri kabisa...Tatizo Watanzania wazembe, Kiswahili chenyewe uandishi wao hutia kinyaa, Kingereza hawakijui kishawapiga chenga, lugha za asili ndio hawajui hata salamu, watu wanaishi ili siku ziende tu, hamnazo kabisa.
Watu wanaanza kufundishwa Kingereza sekondari, hapo unakuta hata msomi professa anaishia kutokujiamini na ze ze ze nyingi tu. Sema watoto wa wenye hela hupelekwa shule za kimataifa wanafundishwa kingereza wakiwa wadogo, ila wakirudi nyumbani wanawakuta wazazi ni wale wale wa ze ze ze, mtoto anakosa jinsi ya kuzoea lugha.
Watoto wa makajamba mitaani ndio hoi, wao huambiwa wagande kwenye Kiswahili eti ndio uzalendo. Kisha nafasi za kazi zikitangazwa humo kunakua na kigezo kwamba 'proficiency in English is a requirement'
Umeuwa kabisa, halafu jamaa wanapigwa hatari...eti kule kwao kuna course za english(3months) baada ya hapo wanakuhakikishia utakua vizuri kabisa...
Ndio manake ukikutana na watu sampuli hyo, especially madem huaga ni mwendo wa "actually" tu..
Nadhani mkuu umeshalichuguza hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesikia treni ni simu ya mkononi ukiagiza ndani ya wiki kadhaa inafika?
Kama huyu Phd holder wa kitz, mzee wa Ghaddafi ni rais wa Yemen, na kiingereza chake kibovu. Eti 'Am a politicians and I don't want to take so much time as saying so many political. Simple and clear is only congregations to you'.Tatizo Watanzania wazembe, Kiswahili chenyewe uandishi wao hutia kinyaa, Kingereza hawakijui kishawapiga chenga, lugha za asili ndio hawajui hata salamu, watu wanaishi ili siku ziende tu, hamnazo kabisa.
Watu wanaanza kufundishwa Kingereza sekondari, hapo unakuta hata msomi professa anaishia kutokujiamini na ze ze ze nyingi tu. Sema watoto wa wenye hela hupelekwa shule za kimataifa wanafundishwa kingereza wakiwa wadogo.
Watoto wa makajamba mitaani ndio hoi, wao huambiwa wagande kwenye Kiswahili eti ndio uzalendo. Kisha nafasi za kazi zikitangazwa humo kunakua na kigezo kwamba 'proficiency in English is a requirement'
Tatizo Watanzania wazembe, Kiswahili chenyewe uandishi wao hutia kinyaa, Kingereza hawakijui kishawapiga chenga, lugha za asili ndio hawajui hata salamu, watu wanaishi ili siku ziende tu, hamnazo kabisa.
Watu wanaanza kufundishwa Kingereza sekondari, hapo unakuta hata msomi professa anaishia kutokujiamini na ze ze ze nyingi tu. Sema watoto wa wenye hela hupelekwa shule za kimataifa wanafundishwa kingereza wakiwa wadogo, ila wakirudi nyumbani wanawakuta wazazi ni wale wale wa ze ze ze, mtoto anakosa jinsi ya kuzoea lugha.
Watoto wa makajamba mitaani ndio hoi, wao huambiwa wagande kwenye Kiswahili eti ndio uzalendo. Kisha nafasi za kazi zikitangazwa humo kunakua na kigezo kwamba 'proficiency in English is a requirement'
Kumbe ni failed state moja ambayo bila chakula cha misaada mambo hayaendi πππThe way you speak, as if your country development is next to Singapore.
Kama huyu Phd holder wa kitz, mzee wa Ghaddafi ni rais wa Yemen, na kiingereza chake kibovu. Eti 'Am a politicians and I don't want to take so much time as saying so many political. Simple and clear is only congregations to you'.
Wajinga sana wana mentality za kitumwa,unaongea kingereza wakati unaishi kwenye SlumsMaelfu ya Watanzania wapo nje ya Africa wakifanya Maisha huko, Wachina na Wazungu na Wahindi maelfu kwa maelfu wanafika Tanzania na Kutoka kila siku,
Hawa wakija Tanzania wanahudumiwa kwa Kiluhya?
Are they complaining that they experience communication Challenges in Tanzania?