Kuna some pdf ninazo nikiwa around na pc naweza share ila kwa sasa, jaribu ku google zipo0
Nahitaj saaana kujifunza.... body language... msaada wa application.. pdf notes au njia yoyote ya kujifundisha simple and basic body language
Poa brza...Kuna some pdf ninazo nikiwa around na pc naweza share ila kwa sasa, jaribu ku google zipo
Mbona simple , kwani ni kila mtu ana huwezo wa kuzisoma hizi lugha??Tuache kukaririshana kuna watu wamejifunza na kuweza kuzidanganya lie detectors itakua wewe kweli?
Eti kisa body language? Mtu hujaingia kipindi kimegewa maksi 5 unaenda kwa lecturer unapiga hadithi mpaka anaelewa na hapindui leo unaleta picha hivi na kuhitimisha ni sahihi kwa 100%?
Maajabu yake na wadau wakasapoti.
Katika dunia hii ambayo kuna tapeli aliwauzia watu mnara wa Eiffel si wangemsoma body language na kujua huyu tapeli? Haya huko mbali, kuna mama amemtapeli hadi raisi na ulinzi akagewa na kesi akashindwa hapo body language ilikuaje?
Kama umesomea au unasomea saikolojia mkuu naomba uniambie.
Naomba lete picha nne za Harmo Rapa, na Marehemu Dr Remmy na marehemu Kanumba ukiwa unaonesha body languages zao zinaashiria nini.
merengo90
Hebu jibu hili mkuu...Mbona simple , kwani ni kila mtu ana huwezo wa kuzisoma hizi lugha??
Unahisi kila mtu anashndwa kucheza na hizi lugha??.....
Mimi nina uhakika mkuu wewe mtu akiamua kukutapeli anakutapeli pamoja na kusema una kipaji cha kusoma body language.Mbona simple , kwani ni kila mtu ana huwezo wa kuzisoma hizi lugha??
Unahisi kila mtu anashndwa kucheza na hizi lugha??.....
hata mimiMkuu mie nakudanya vizuri tu.
Kama yule mbunge wa kule Iringa (me)Kubetua mdomo hasa wanawake
Kwani wewe una nini hadi nisikudanganye?hata mimi
nakojoa biaKwani wewe una nini hadi nisikudanganye?
Eh!balaa.nakojoa bia
Thanks very Much konge .U made my day.
Exactly Mkuu merengo90 .Ukion unaongea na mtu then hakuangaliii , anafanya jambo jingine juaa
1. Hayupo interested na unalo zungumza.
2. Amekuzarau.
Kila kitu kinaongeaa mkuuuu.