Tuache kukaririshana kuna watu wamejifunza na kuweza kuzidanganya lie detectors itakua wewe kweli?
Eti kisa body language? Mtu hujaingia kipindi kimegewa maksi 5 unaenda kwa lecturer unapiga hadithi mpaka anaelewa na hapindui leo unaleta picha hivi na kuhitimisha ni sahihi kwa 100%?
Maajabu yake na wadau wakasapoti.
Katika dunia hii ambayo kuna tapeli aliwauzia watu mnara wa Eiffel si wangemsoma body language na kujua huyu tapeli? Haya huko mbali, kuna mama amemtapeli hadi raisi na ulinzi akagewa na kesi akashindwa hapo body language ilikuaje?
Kama umesomea au unasomea saikolojia mkuu naomba uniambie.