Lugha ya Polepole ina Codes nyingi sana. Ametaja waliokuwa wanamhujumu Magufuli na wanaoendelea kumhujumu Samia

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Anaongea kama Gwajima kwa falsafa. Ukimsikiliza between the words ndo utagundua kuna maana nzito sana. Mfano amegusia kifo cha Magufuli na wahusika. Amewataja baadhi.

Ametaja waliokuwa wanamhujumu Magufuli na wanaoendelea kumhujumu Samia. Hili genge la mtandao nia genge la kuchinjiliwa mbali kabisa. Na linataka kuweka Rais wao kwa kumwaribia Samia. Ila yeye hajui au haelewi anaamini ndo watu wake.

Kanda ya Ziwa msidanganyike . Kataeni hawa wahuni. Wamefikia hatua mbaya sana.
 
Aache kabisa kumzungumzia kibudu Jiwe a.k.a mungu wa wajinga aliyenyofolewa roho kibabe na Muumba mwenyewe.
Polepole wakati wake wa kula mema ya nchi umepita.
 
Anaongea kama Gwajima kwa falsafa. Ukimsikiliza between the words ndo utagundua kuna maana nzito sana. Mfano amegusia kifo cha Magufuli na wahusika. Amewataja baadhi.

Ametaja waliokuwa wanamhujumu Magufuli na wanaoendelea kumhujumu Samia. Hili genge la mtandao nia genge la kuchinjiliwa mbali kabisa. Na linataka kuweka Rais wao kwa kumwaribia Samia. Ila yeye hajui au haelewi anaamini ndo watu wake.

Kanda ya Ziwa msidanganyike . Kataeni hawa wahuni. Wamefikia hatua mbaya sana.
Kuna watu ndio walipaswa kushighulikiwa nakuhangaika na kesi za uhaini wanakuja kumpatia TAL ambae anapigania ukombozi wa kweli kwa maslahi ya watu wote Mungu awalaani kabisa wamalizane
 
Kusikia kwa kenge mpaka atoke damu masikioni na puani.
 
Hiki kifo cha Magufuli ndio kitisho kikuu cha Polepole anawatishia nacho ccm ya Msoga gang.
 
Anazua taharuki tu. Nothing will matter
 
Mtandao unaogopwa kiasi hicho!!
Basi una nguvu kweli kweli!
 
Hivi siku ikijulikana kwamba slow slow nae ni pandikizi itakuwaje? Maana anaweza akawa amewekwa strategically kuwatoa watu kwenye mjadala wa TAL. Ndio maana haendi straight to the point, anazunguka weeee 😆😆😆
Hapa nawe unajiona umefikiria...
 
Anaongea kama Gwajima kwa falsafa. Ukimsikiliza between the words ndo utagundua kuna maana nzito sana. Mfano amegusia kifo cha Magufuli na wahusika. Amewataja baadhi.

Ametaja waliokuwa wanamhujumu Magufuli na wanaoendelea kumhujumu Samia. Hili genge la mtandao nia genge la kuchinjiliwa mbali kabisa. Na linataka kuweka Rais wao kwa kumwaribia Samia. Ila yeye hajui au haelewi anaamini ndo watu wake.

Kanda ya Ziwa msidanganyike . Kataeni hawa wahuni. Wamefikia hatua mbaya sana.
Hapa naunganisha dot kuwa katibu-nae mtandao... Na yeye ndio anapigiwa chapua kuchukua badala ya Samia kama likitokea mama katolewa... Juzi kati nilisikia alikua na wateule wake kibao wa ubunge na udiwani nchi nzima anataka kuwapitisha... Ndio katiba ikaboreshwa ili waweze kufanya watakalooo.... Alooo

Mungu ilinde Tanzania na hao Wana mtandao!!
 
Back
Top Bottom