Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Kuna watu ndio walipaswa kushighulikiwa nakuhangaika na kesi za uhaini wanakuja kumpatia TAL ambae anapigania ukombozi wa kweli kwa maslahi ya watu wote Mungu awalaani kabisa wamalizaneAnaongea kama Gwajima kwa falsafa. Ukimsikiliza between the words ndo utagundua kuna maana nzito sana. Mfano amegusia kifo cha Magufuli na wahusika. Amewataja baadhi.
Ametaja waliokuwa wanamhujumu Magufuli na wanaoendelea kumhujumu Samia. Hili genge la mtandao nia genge la kuchinjiliwa mbali kabisa. Na linataka kuweka Rais wao kwa kumwaribia Samia. Ila yeye hajui au haelewi anaamini ndo watu wake.
Kanda ya Ziwa msidanganyike . Kataeni hawa wahuni. Wamefikia hatua mbaya sana.
Jeshi lipi hilo?Jeshi liko wapi?
Aache kabisa kumzungumzia kibubu Jiwe aliyenyofolewa roho kibabe na muumba
Mnaenjoi life eeh !Vyeti fake mnawakati mgumu... Wenzenu tuna enjoy life. Nyie bado mna uchungu mpaka leo. Mzae.
Kibudu nio huyo mama asopendwa mpaka na watoto anaeweza kusagana tu.Aache kabisa kumzungumzia kibudu Jiwe a.k.a mungu wa wajinga aliyenyofolewa roho kibabe na Muumba mwenyewe.
Polepole wakati wake wa kula mema ya nchi umepita.
Mwana mtandao jiandaeBabu slow slow kabaki majungu na kufitinisha tu. Sasa ameamua kumshambulia wale wote waliazima hila zao ovu.
Hapa nawe unajiona umefikiria...Hivi siku ikijulikana kwamba slow slow nae ni pandikizi itakuwaje? Maana anaweza akawa amewekwa strategically kuwatoa watu kwenye mjadala wa TAL. Ndio maana haendi straight to the point, anazunguka weeee πππ
Hapa naunganisha dot kuwa katibu-nae mtandao... Na yeye ndio anapigiwa chapua kuchukua badala ya Samia kama likitokea mama katolewa... Juzi kati nilisikia alikua na wateule wake kibao wa ubunge na udiwani nchi nzima anataka kuwapitisha... Ndio katiba ikaboreshwa ili waweze kufanya watakalooo.... AloooAnaongea kama Gwajima kwa falsafa. Ukimsikiliza between the words ndo utagundua kuna maana nzito sana. Mfano amegusia kifo cha Magufuli na wahusika. Amewataja baadhi.
Ametaja waliokuwa wanamhujumu Magufuli na wanaoendelea kumhujumu Samia. Hili genge la mtandao nia genge la kuchinjiliwa mbali kabisa. Na linataka kuweka Rais wao kwa kumwaribia Samia. Ila yeye hajui au haelewi anaamini ndo watu wake.
Kanda ya Ziwa msidanganyike . Kataeni hawa wahuni. Wamefikia hatua mbaya sana.