Lugha ya spanish tukutane hapa

Kitu kizuri kuhusu Spanish. Ilivyo andikwa ndivyo hvyo unasoma tofauti na English ilivyo. English ni ngumu, ukifananisha na spanish.
This is true mfano..."living la Vida loca" haina manjonjo inatamkwa kama ilivyoandikwa.

Tatizo lipo kwenye herufi Moja tu ya ñ inayotankwa "Nya" mfano Hasta la mañaña inatamkwa Hasta la manyana..

Señor inatamkwa senyor.
Señorita inatamkwa senyorita.
 
Perfecto muy bien
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…