Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu kizuri kuhusu Spanish. Ilivyo andikwa ndivyo hvyo unasoma tofauti na English ilivyo. English ni ngumu, ukifananisha na spanish.Mkuu nitakuomba unipe nondo za hii lugha naona inasomeka vizuri
Buenas noches amiga.Buenas noches...abrazos!!
This is true mfano..."living la Vida loca" haina manjonjo inatamkwa kama ilivyoandikwa.Kitu kizuri kuhusu Spanish. Ilivyo andikwa ndivyo hvyo unasoma tofauti na English ilivyo. English ni ngumu, ukifananisha na spanish.
Gracias muchachoHasta la mañaña!
Hasta la MañanaHasta luego
Perfecto muy bienThis is true mfano..."living la Vida loca" haina manjonjo inatamkwa kama ilivyoandikwa.
Tatizo lipo kwenye herufi Moja tu ya ñ inayotankwa "Nya" mfano Hasta la mañaña inatamkwa Hasta la manyana..
Señor inatamkwa senyor.
Señorita inatamkwa senyorita.
¿Cómo hacemos para ser más buenos?Es tan aburrido!!...
Hivi para na por zina maana gani?¿Cómo hacemos para ser más buenos?
Zote zimezaliwa from Latin. Mimi nilianza na practise from Mexican Ascent. Nikaanza kuzoea na kutofautisha.Zamani nilikuwa siwezi kutofautisha kati ya kispaniola na kiportuguese.
Mfano mzizi wa neno "Como" unapatikana katika lugha hizi mbili zote.Zote zimezaliwa from Latin. Mimi nilianza na practise from Mexican Ascent. Nikaanza kuzoea na kutofautisha.
Yes Spanish is Very very romantic aiseee.Mfano mzizi wa neno "Como" unapatikana katika lugha hizi mbili zote.
Ila Spanish ni tamu kuliko Portuguese!