Lugha ya Taifa ya Tanganyika iwe Kiingereza

Unasemeje

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2021
Posts
249
Reaction score
923
Baada ya Tanganyika kuhuishwa kwenye katiba mpya, lugha ya taifa iwe Kiingereza, Kiswahili kimetuchelewesha sana, ona sasa kila nchi unayoomba kwenda kusoma au kufanya kazi wanataka ufanye English test simply because lugha ya taifa lako si kiingereza.

Tukirejesha Tanganyika yetu, Lugha ni kiingereza ili tupate fursa kirahisi huko Australia, Canada, UK, US nk.

Juzi niliona viongozi wa Africa wanasema eti tubaki hapa hapa, wao kila kukicha wako ughaibuni wanadai kuwa wanaenda kupambania nchi zao. Mimi nasema hivi, nasisi tunaenda huko wanako kwenda kupambania familia zetu.

Mwisho wa siku tutarudi tu hapa.

Okay, Okay.
 
Baada ya Tanganyika kuhuishwa kwenye katiba mpya, lugha ya taifa iwe Kiingereza, Kiswahili kimetuchelewesha sana, ona sasa kila nchi unayoomba kwenda kusoma au kupata kazi wanataka ufanye English test simply because lugha ya taifa lako si kiingereza.

Tukirejesha Tanganyika yetu, Lugha ni kiingereza ili tupate fursa kirahisi huko Australia, Canada, UK, US nk.

Juzi niliona viongozi wa Africa wanasema eti tubaki hapa hapa, wao kila kukicha wako ughaibuni wanadai kuwa wanaenda kupambania nchi zao. Mimi nasema hivi, nasisi tunaenda huko wanako kwenda kupambania familia zetu.

Mwisho wa siku tutarudi tu hapa.

Okay, Okay, uzi tayari.
Kwakua maendeleo yanahusishwa na Lugha basi tukazie lugha ya Taifa iwe Kichina pia.... Na Kiarabu, au Kikorea kabisa.
 
Kiingereza ndo kila kitu, kiarabu hakina fursa zaidi ya kuishia kuwa imamu au shehe kama ponda, kipoozeo na wengine.
 
Baada ya Tanganyika kuhuishwa kwenye katiba mpya, lugha ya taifa iwe Kiingereza, Kiswahili kimetuchelewesha sana, ona sasa kila nchi unayoomba kwenda kusoma au kufanya kazi wanataka ufanye English test simply because lugha ya taifa lako si kiingereza.

Tukirejesha Tanganyika yetu, Lugha ni kiingereza ili tupate fursa kirahisi huko Australia, Canada, UK, US nk.

Juzi niliona viongozi wa Africa wanasema eti tubaki hapa hapa, wao kila kukicha wako ughaibuni wanadai kuwa wanaenda kupambania nchi zao. Mimi nasema hivi, nasisi tunaenda huko wanako kwenda kupambania familia zetu.

Mwisho wa siku tutarudi tu hapa.

Okay, Okay, uzi tayari.
Fala wa bandari wewe, hauna tofauti na yule wakili Mkuu Mfereji.
Yaani unataka uwe taifa ili uweze kwenda kwa wengine badala ya kupambania huko mlipo pasimame kufikia levels za hao wengine?
 
Wewe kwako umepambana pamefikia wapi? Nyie si mnampango wa kuwarudisha waarabu wawatawale hapo visiwani?
 
Baada ya Tanganyika kuhuishwa kwenye katiba mpya, lugha ya taifa iwe Kiingereza, Kiswahili kimetuchelewesha sana, ona sasa kila nchi unayoomba kwenda kusoma au kufanya kazi wanataka ufanye English test simply because lugha ya taifa lako si kiingereza.

Tukirejesha Tanganyika yetu, Lugha ni kiingereza ili tupate fursa kirahisi huko Australia, Canada, UK, US nk.

Juzi niliona viongozi wa Africa wanasema eti tubaki hapa hapa, wao kila kukicha wako ughaibuni wanadai kuwa wanaenda kupambania nchi zao. Mimi nasema hivi, nasisi tunaenda huko wanako kwenda kupambania familia zetu.

Mwisho wa siku tutarudi tu hapa.

Okay, Okay.
kwanini tusikiendeleze tulichonacho kama wao wanavyofanya na tutafute namna ambayo wao itawalazimu wajifunze lugha yetu! kumbuka tunaendelea kuzaliana na tutazidi kuzaliana
 
Hata wahindi wamezaliana, wanaijeria wamezaliana ila wamefika wapi? Mzungu ni mzungu tu.
 
Uliona wapi tugha ya Taifa adhimu la Tanganyika iwe kiswahili? I miss u Tanganyika mwaaaa mtoa mada upo kanunu
 
Goodmorning tanganyika. A beautiful motherland, the home of great wise men and women
 
Kiingereza ndo kila kitu, kiarabu hakina fursa zaidi ya kuishia kuwa imamu au shehe kama ponda, kipoozeo na wengine.
Soma hapo,kiarabu kipo UN
Screenshot_2023-08-03_101229.jpg

View attachment 2707066
 
Mungu ibariki Afrika............
Mungu ibariki Tanganyika wabariki viongozi wake,🤣🤣🤣🤣#Kataa Muungano ni utapeli
 
Baada ya Tanganyika kuhuishwa kwenye katiba mpya, lugha ya taifa iwe Kiingereza, Kiswahili kimetuchelewesha sana, ona sasa kila nchi unayoomba kwenda kusoma au kufanya kazi wanataka ufanye English test simply because lugha ya taifa lako si kiingereza.

Tukirejesha Tanganyika yetu, Lugha ni kiingereza ili tupate fursa kirahisi huko Australia, Canada, UK, US nk.

Juzi niliona viongozi wa Africa wanasema eti tubaki hapa hapa, wao kila kukicha wako ughaibuni wanadai kuwa wanaenda kupambania nchi zao. Mimi nasema hivi, nasisi tunaenda huko wanako kwenda kupambania familia zetu.

Mwisho wa siku tutarudi tu hapa.

Okay, Okay.
Nauanga mkono hoja
 
Back
Top Bottom