Unasemeje
JF-Expert Member
- Apr 29, 2021
- 249
- 923
Baada ya Tanganyika kuhuishwa kwenye katiba mpya, lugha ya taifa iwe Kiingereza, Kiswahili kimetuchelewesha sana, ona sasa kila nchi unayoomba kwenda kusoma au kufanya kazi wanataka ufanye English test simply because lugha ya taifa lako si kiingereza.
Tukirejesha Tanganyika yetu, Lugha ni kiingereza ili tupate fursa kirahisi huko Australia, Canada, UK, US nk.
Juzi niliona viongozi wa Africa wanasema eti tubaki hapa hapa, wao kila kukicha wako ughaibuni wanadai kuwa wanaenda kupambania nchi zao. Mimi nasema hivi, nasisi tunaenda huko wanako kwenda kupambania familia zetu.
Mwisho wa siku tutarudi tu hapa.
Okay, Okay.