Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,330
Mkuu huu ni ukakasi wakutosha!
Lugha inakwenda mbali sana hii.
Na sijui tutumie maneno gani mbadala?
Mkuu cha msingi ni kuto tumia maneno au nahau zitakazo leta ukakasi. Mfano "utapata nauli yako subiri", "usiwe na wasiwasi gari ikisimama nitakupatia nauli yako".
Mkuu cha msingi ni kuto tumia maneno au nahau zitakazo leta ukakasi. Mfano "utapata nauli yako subiri", "usiwe na wasiwasi gari ikisimama nitakupatia nauli yako".
kweli bana kuna dalili za umombasa humo
"We konda vipi kwani nimekwambia sikupi?" Yaani ni ngumu kuepuka wakati mwingine pale konda anapokugongeagongea chenji huku akisema in a rude way "hapo dada fungua changu?" hasa wewe kwa kuhamaki utajibu hivyo ukijua fika neno nauli lishawakilishwa kwenye mgongano wa chenji na kauli ya konda
makonda wengine hupenda tu kujibu kwa makusudi
hivyoo
au kukuuliza 'umekaa vibaya'?lol
Maana halisi ya neno inategemea mahali neno lilipozungumziwa, umri wa wazungumzaji na mahusiano baina ya wazungumzaji hao.Nitakupa, atakupa mbele, hujapewa mbele, utapewa nyuma, nitakupa nikikaa vizuri, ngoja isimame nikupe, subiri asimamishe nikupe, hivi nilivyo kaa nita kupaje, utapewa tulia, nikupe mara ngapi, nimempa huku mbele, msimpe huko nyuma, si nimekuambia simamisha hapo mbele, mbona nisha kupa?
Kiswahili kimepanuka na kila kikipanuka tafsiri yake pia hupanuka na wakati mwingine hata kuleta ukakasi.